Naamini Simba ndiyo itachukua ubingwa ligi kuu ya NBC Tanzania Yanga nafasi ya pili

Punguza bangi hata nafasi ya pili Simba kuishika ni vigumu.
 
Ila simba wanajituma jamani. Wakati yanga wanamalizia ligi simba ndo kama imeanza ligi. Tuna imani na Mgunda.
 
Endelea tu na k vant NHIF imeshusha garama za dialysis
 
Yaani michezo yote iliyobaki Yanga ashindwe kushinda hata mmoja? Aa wewee
Ni mchezo mmoja tu dhidi ya prison ndo tunaweza kupata droo mingine yote ni kuwafunga tu.
Tena prison ni mchezo wa mwisho hatuna haja ya kwenda uwanjani wapewe point zote 3.
Ya nini kwenda kutesa miguu ya PACONE, AZIZ,YAO NA mikono ya DIARA
 
Nakumbuka Kombe La Dunia Sina Hakika Ila Ilikuwa Afrika Kusini
Kulikuwa Na Pweza Paul, Mtaalam Wa Kutabiri Na Alikuwa Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…