Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Who are youDennis Robert Shughuru who are you?
mkuu hii ndoto yako ya chanjo tangu 2025 umechukua hatua gani mpaka sasa?Niko powa niambie
Dawa inahitaji mtu mwenye mamlaka ya uRais aseme tunaweza tofauti na hapo ni ngumumkuu hii ndoto yako ya chanjo tangu 2025 umechukua hatua gani mpaka sasa?
sio kosa lakoMkuu una ndoto nzuri sana kama Ile ya Yericko Nyerere kuwa mbunge wa kigamboni kupitia chama chake cha CHAUMMA inasikitisha sana au wewe ni yericko🥹🥹
ok.🐒Moja ya mambo lazima niyafanye ntahakikisha tunatengeneza dawa ya ebola nikiwa Rais wa Tanzania
Unajua ukifuatilia swala la ebola ni aibu kubwa sana kwa sisi waafrika utaona tunachangamoto kubwa sana
Tatizo ni letu kwanini tusibirie nchi ambazo tatizo haliwahusu ndo watengeneza dawa, ebola ni ugonjwa ambao hauwasumbui wazungu, wachina au wahindi ni tatizo letu sisi waafrika
Niwakati wa kuanza mchakato wa kutengeneza dawa ya ebola tuache unyonge
Tafiti za kutengeneza dawa zinahitaji serikali iwekwe fedha nyingi sana kupitia budget nikuulize kwenye budget ya Tanzania umeshaona kuna fedha ya kutengeneza dawa from scratch huwa inatengwaMimi nikajua wewe ndio utaongoza utafiti mkuu Dennis au unataka useme tu "tunaweza" then what next?
ya kaisari mpeni kaisari, na ya MUNGU mpeni MUNGU... Sipendagi hata kujihusisha na siasa but hii ndoto yako itafakari mara mbili mbili mkuu DennisTafiti za kutengeneza dawa zinahitaji serikali iwekwe fedha nyingi sana kupitia budget nikuulize kwenye budget ya Tanzania umeshaona kuna fedha ya kutengeneza dawa from scratch huwa inatengwa
Tanzania inahitaji kujenga miundombinu ya kutengeneza dawa sababu kwa sasa hivi haipo
Wazo lako si baya, lakini dawa yoyote inaidhinishwa na WHO. Vinginevyo hata ukiwa rais labda uiuze kama dawa ya kienyeji. Iwe kama ile ya Madagascar Magufuli aliyomtuma Kabudi wakainywa bila kufanyiwa majaribio. Yaani ikawa aibu ya aina yake.Dawa inahitaji mtu mwenye mamlaka ya uRais aseme tunaweza tofauti na hapo ni ngumu
Wanasiasa ndo hao hawawezi kutenga fedha kwa ajili ya kutengeneza dawaKiongozi
Umesoma hata PCB ukamjua virus vizuri au unaongea tu kisiasa?
Ila waafrika sijui ni nini mtafanya huku dunianiWazo lako si baya, lakini dawa yoyote inaidhinishwa na WHO. Vinginevyo hata ukiwa rais labda uiuze kama dawa ya kienyeji. Iwe kama ile ya Madagascar Magufuli aliyomtuma Kabudi wakainywa bila kufanyiwa majaribio. Yaani ikawa aibu ya aina yake.
Ama ufanye kama kile kibanda cha kujivufukiza Magu aliagizwa kiwekwe hapo Muhimbili kipindi cha covid, madoctor wakawa wanalalamika chini chini, alipofafiki wiki hiyo hiyo kabla hajapasuka kikaondolewa haraka kuficha aibu iliyokuwa imeenea.
Chanjo ya madagascarKiongozi
Umesoma hata PCB ukamjua virus vizuri au unaongea tu kisiasa?
Samahani, si maanishi utaweza kutengeneza dawa ila hiyo elimu ingekusaidia kujua ni kwa nini hakuna dawa ya kutibu hata magonywa mengine yanayosababshwa na VirusWanasiasa ndo hao hawawezi kutenga fedha kwa ajili ya kutengeneza dawa
Nani alikuambia ukisoma PCB ndo unaweza kutengeneza dawa
Kuna wagonjwa wa ebola wameponaSamahani, si maanishi utaweza kutengeneza dawa ila hiyo elimu ingekusaidia kujua ni kwa nini hakuna dawa ya kutibu hata magonywa mengine yanayosababshwa na Virus
Huenda hujaelewa hoja yangu, nimekuambia dawa yoyote lazima idhibitishwe na WHO. Hapo kwenye kudhibitishwa na WHO ndio penye mtihani. Vinginevyo uitoe kama dawa ya kienyeji, huhitaji kuwa rais kutengeneza dawa ya kienyeji.Ila waafrika sijui ni nini mtafanya huku duniani
Alafu hizi akili ndo viongozi wanazo very hopeless
Kabla hujaanza tayari umesha-hitimisha tutafeli
Alafu kutwa kuipondea ccm kumbe unakili mbaya zaidi hata ya ccm
Hiyo madagascar nayo unapata ujasiri wa kuiita dawa