Naamini tunaweza kutengeneza dawa ya Ebola. Nikiwa Rais lazima dawa itatengenezwa ili kuepukana na huu udhalilishaji

Naamini tunaweza kutengeneza dawa ya Ebola. Nikiwa Rais lazima dawa itatengenezwa ili kuepukana na huu udhalilishaji

Unayo matatizo makubwa akilini mwako.

Kwa hiyo kwa wewe kutangaza hivyo hiyo dawa tayari unayo!
Mtu huna lolote ujualo kuhusu eneo hilo la taaluma, leo unakuja humu JF kuweka takataka watu wapoteze muda kujadili hizi takataka!
Na maajabu ni kama hayo, kurasa zaidi ya tano, michango 100; ukiipitia yote huoni hata moja la maana lililochangiwa kwenye mada!
Nimetangaza wapi tayari dawa ninayo ebu nionyeshe kwenye uzi niliposema nina dawa ya ebola ndo maana nakuambia wewe unashida sababu unatunga uongo
 
1: Hapa suala lilikuwa ni umuhimu wa ugonjwa kuwa ni wa nchinyenye mgonjwa au na wengine wanahusika?

2: WHO haimtengenezei nchi mwanachama yeyote dawa na wala haina jukumu mama la kutengeneza dawa.

3: Hata huko Ulaya na Marekani, si serikali za nchi husika hutengeneza dawa, bali makampuni yaliyowekeza vilivyo kwenye ugunduzi na uendelezaji wa dawa.
Serikali zinaweka fedha kupitia subsidy kwa hayo makampuni sio ya dawa tu bali hata yanayotengeneza bidhaa nyingine yanapewa subsidy
 
Miniko jamiiforum najua kabisa huku ni kwa wapiga debe na vilaza ila ndo watanzania wako hivyo tunaendelea kuwaelimsha
Aiiiseee!
Wewe umwelimishe mtu mwingine?

Kwenye mada hii umeelimisha kitu gani hapa iwapo hata hujui uvumbuzi wa dawa unaanzia wapi?
Na hata kama huna taaluma ya huko; tuseme wewe ungekuwa ni kiongozi mzuri; hata huwezi kutunga sera za kuwapanga vizuri watu wanaojuwa eneo hilo na kuwapa nyenzo za kutimiza lengo unalokusudia?

Wewe, huenei kotekote, siyo kwenye taaluma husika, na wala hata kwenye sera huna lolote!

Sitaki kuendelea kupoteza muda na wewe hapa.
 
NIonyeshe sehemu ambayo nimesema nina dawa ya ebola
Sababu ementuhumu kwamba nimesema nina dawa

Sasa natungaje sera ilihali sina mamlaka yeyote yale

ETi wewe huenei kokote aisee nimecheka mpaka watu wananishangaa man!!!!! neno lako sio sheria
 
Si kweli, maisha si rahisi kiasi hicho.
Lazima uwasiliane na anaemiliki dawa husika/patent. Utamlipa kwa mkataka mtakaokubaliana wenyewe. Muna malipo ya mwanzo na mengune yaweza kuwa ni matokei ya biasha (asilimia ya faida).
ni kweli kwamba formula za dawa nyingi zilizogunduliwa miaka 20 iliyopita (au zaidi) kwa sasa hazina hati miliki (patent). Hali hii inaruhusu kampuni yoyote duniani kuzalisha dawa hizo kama dawa za jeneriki (generic drugs) bila kulipia gharama za hakimiliki au mrabaha (royalties).

kijana rudi shule usome hatuwezi kuwa na raisi kiazi
 
sawa, mimi kichaa kuliko wewe unaevizia miaka 20 baada ya patent kuisha ili uzalishe dawa bure na unataka kuwa mzalishaji bora wa dawa kwenye nchi na ukanda wako.
 
sawa, mimi kichaa kuliko wewe unaevizia miaka 20 baada ya patent kuisha ili uzalishe dawa bure na unataka kuwa mzalishaji bora wa dawa kwenye nchi na ukanda wako.
Dawa ambazo hazina patent na bure kuzalisha hazina faida kubwa
Dawa mpya ndo zinafaida kama ikipitishwa na ikiwa haina side effects kubwa
 
Nimekua nikijiuliza hivi kwanini mtu akifa inaandikwa Tanzia na kwanini kwenye kaburi hua wanaandika tarehe ya kuzaliwa na tarehe kufa?
 
Moja ya mambo lazima niyafanye ntahakikisha tunatengeneza dawa ya ebola nikiwa Rais wa Tanzania

Unajua ukifuatilia swala la ebola ni aibu kubwa sana kwa sisi waafrika utaona tunachangamoto kubwa sana

Tatizo ni letu kwanini tusibirie nchi ambazo tatizo haliwahusu ndo watengeneza dawa, ebola ni ugonjwa ambao hauwasumbui wazungu, wachina au wahindi ni tatizo letu sisi waafrika

Niwakati wa kuanza mchakato wa kutengeneza dawa ya ebola tuache unyonge

DAWA ITAJIKITA KWENYE KUTIBU SYMPTOMS NA WAKISHAKUWA WEAK WATAKUA ELIMINATED NA WHITEBLOOD CELLS
  • kwanini nasema hivi uko udhshidi wa watu kupona ebola hii inadhihirisha ni virus ambavyo whiteblood cells inaweza viondoa
Kutengeneza dawa kunafika mpaka usd billion 1 sawa na zaidi ya tsh trilion 2 za kitanzania kwa hiyo kikwazo kikubwa ni utayari wa kisiasa wa kuweka fedha kwa ajili ya kutengeneza dawa

Ni ajabu sana sisi ni wahanga wa ebola ila wanaopambana kutengeneza dawa ni makampuni ya wazungu unajua haya ni maajabu ya afrika
Ebola ni mkakati pale Congo ,ni ugonjwa uliotengenezwa mahususi sio kama dawa au chanjo hamna ,ugonjwa huu unahusishwa sana na uchimbajibwa madini wazungu sio watu wazuri kuna bandiko nikilipata nitawasogezea mlione.
 
Moja ya mambo lazima niyafanye ntahakikisha tunatengeneza dawa ya ebola nikiwa Rais wa Tanzania

Unajua ukifuatilia swala la ebola ni aibu kubwa sana kwa sisi waafrika utaona tunachangamoto kubwa sana

Tatizo ni letu kwanini tusibirie nchi ambazo tatizo haliwahusu ndo watengeneza dawa, ebola ni ugonjwa ambao hauwasumbui wazungu, wachina au wahindi ni tatizo letu sisi waafrika

Niwakati wa kuanza mchakato wa kutengeneza dawa ya ebola tuache unyonge

DAWA ITAJIKITA KWENYE KUTIBU SYMPTOMS NA WAKISHAKUWA WEAK WATAKUA ELIMINATED NA WHITEBLOOD CELLS
  • kwanini nasema hivi uko udhshidi wa watu kupona ebola hii inadhihirisha ni virus ambavyo whiteblood cells inaweza viondoa
Kutengeneza dawa kunafika mpaka usd billion 1 sawa na zaidi ya tsh trilion 2 za kitanzania kwa hiyo kikwazo kikubwa ni utayari wa kisiasa wa kuweka fedha kwa ajili ya kutengeneza dawa

Ni ajabu sana sisi ni wahanga wa ebola ila wanaopambana kutengeneza dawa ni makampuni ya wazungu unajua haya ni maajabu ya afrika
Tunataka maji na wanafunzi wasikae chini dawa ya ebola itatengenezwa na wacongo kwasababu watakuwa na watu wakuwajaribia
 
Dawa ambazo hazina patent na bure kuzalisha hazina faida kubwa
Dawa mpya ndo zinafaida kama ikipitishwa na ikiwa haina side effects kubwa
Hapa ndo tutachagua kati ya kuzalisha product ya miaka 20 nyuma ya free patent ambayo haina faida kubwa na ina side effects zaidi na ubora hafifu au kuzalisha product mpya yenye patent, ubora mkubwa na ina gharama zake. Ninachokifahamu huwezi kuwa mviziaji, unahitaji kuwekeza seriously kwenye rasimali watu, teknolojia na fedha za kutosha.
 
sawa, mimi kichaa kuliko wewe unaevizia miaka 20 baada ya patent kuisha ili uzalishe dawa bure na unataka kuwa mzalishaji bora wa dawa kwenye nchi na ukanda wako.
issue niu umeamini au bado unabisha ???? dawa za 2006 kurudi nyuma unaweza zalisha bila kulipa patent wala nyoko yeyote
 
Dawa ambazo hazina patent na bure kuzalisha hazina faida kubwa
Dawa mpya ndo zinafaida kama ikipitishwa na ikiwa haina side effects kubwa
kijana huko juu umeongelea india unajua makampuni yao mangapi ya dawa?????????

je umejifunza dawa za 2006 kurudi nyuma unaweza chukua formula na kuzalisha bila kulipa sent?????

je watoto wa leo kuna chanjo ya 2006 ambao hawapigwi??????kuwa na akili fanya uchunguzi na ujue hauko mwenyewe unaopendelea kuleta maendeleo ukiwa raisi tanzania
 
issue niu umeamini au bado unabisha ???? dawa za 2006 kurudi nyuma unaweza zalisha bila kulipa patent wala nyoko yeyote
Kwa kampuni yenye sera kama yako ni sawa ya kusubiria miaka 20 ndo uzalishe dawa husika za bure na uwe compititive. Na baadaye uje ulete chanjo vs dawa ya Ebola.
 
Kwa sera yako sawa ya kusubiria miaka 20 ndo uzalishe dawa husika za bure na uwe compititive. Na baadaye uje ulete chanjo vs dawa ya Ebola.
kijana hiyo ya dawa na patent kuwa bure baada ya miaka 20 ni tone katika Bahari zote duniani ukichukua tone kwa kijiko na kumwaga kwenye fukwe umepunguza kitu kwenye bahari zote duniani??????????????????????????

kuna kitu kinaitwa dawa za msingi kuanzia antbiotic ambavyo tunatengeneza na hata kipindi cha nyerere walitengeneza????

kuna subsidiary compan na kuna uwekezaji ??? wanachotaka ni eneo na uwezo wa transport na siasa njema kila kampuni litavutiwa kuja nchini na tanzania itakuwa lead kwa pharmacetical Africa na hatimaye duniani. ni mchakato mrefu wa sera etc
 
Back
Top Bottom