Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #61
India wanafanya kitu kinachoitwa copying kutoka dawa zinazotengenezwa na kampuni za western ila waweze kuzuiuza kwa bei nafuudawa dawa dawa.
Toka nijue kuwa formula za dawa miaka 20 iliyopita iko bure kabisa na kutengeneza dawa hizo ni bure hulipii chochote.
na india ndio wako juu kwa sababu wana mass produce nilishtuka.
hapo issue si lazima uraisi japo ni jema ila jua.
tanzanie hela hatuna hivyo sijui unavyosema ukiwa maana sio wewew tu wenye matamanio hayo. priority itakuwa nini na karibia kila sector ni muhimu kwa maendeleo.
issue ni
1.Vision ya maana na
Mission ya maana ya kuinua nchi maana haiwezekani et ya pili kwa tourism hotsport na inapata visitors million 2 sawa kabisa na vi museum vidogo kabisa vya ulaya
Kutengeneza dawa ni kazi ngumu sana sababu nyingi zinafeli kwenye clinical trials
Ila waafrika tunapenda vya bure eti formula ni bure mambo sio marahis kama unavyotaka kuaminisha watu