Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
huyo anayethibitisha hawawezi kukuzui kutengeza dawaHuenda hujaelewa hoja yangu, nimekuambia dawa yoyote lazima idhibitishwe na WHO. Hapo kwenye kudhibitishwa na WHO ndio penye mtihani. Vinginevyo uitoe kama dawa ya kienyeji, huhitaji kuwa rais kutengeneza dawa ya kienyeji.
Hata sielewi umeitaja hiyo Madagascar kwa muktadha gani kuendana na nilichokisema mimi.
Kama wengine wanatengeneza dawa kwanini sisi tusitengeneze mbona njia za kutengeneza dawa zinajulikana mpaka clinical trials
Ukitengeneza dawa na ika na efficacy ya zaidi asilimia 40 kwenye clinical trials kwanini wasipitishe