Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Usingepanic ningeshangaa sana. Kwamba rais ndio ana hiyo shilingi 2t? Nimeona sehemu nyingi wanasayansi wakifanya kazi hiyo kwa ufadhili hata wa taasisi mbalimbali, bila hata kutaka huruma/mamlaka ya rais. Na hata hapa bila kuwa rais kuna vitivo vya sayansi unaweza kuanza, na kutoa matokeo hatua kwa hatua, mashirika ya wafadhili na hata serekali ikiona kuna mwelekeo wanaingiza funds.Dawa nayoongelea ni zile zinazouzwa pharmacy mpaka zikamilike ni tsh trillion 2
Sasa niambie ni mtu yupi binafsi anaweza tumia tsh trillion 2 kwa ajili ya dawa
Tuweni serious usipende kukurupikia mambo usiyoyajua
Yaani unaushabiki mbaya sana na uwezo wako ni mdogo sana
Sasa kama unapata changamoto tu kwenye hoja yako unapanick hivi, utaweza kufikia lengo lako kweli🤣? Au ww ndio ukiwa rais wazo lako likakosolewa itabidi uanzishe vikundi vya utekaji kama mwendazake?