Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah we mwanamke ww 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23]una uhakika haujui tatizo?
Eeh ni life tu babbii!😂Aise kesho utupe mrejesho mkuu🤣🤣 wangu tangu ijumaa mpaka jpili ikifika saa mbili usiku simu inazima chaji🤣🤣🤣ila si ni life tu.
Kwa mpenzi wake mpya😅😅😅Mkuu hicho kiburi huyo mwanamke anakitoa wapi?
Na wewe mblock
Kwani una mpango wa kuoa uyo? We kausha tu jilie vyako taratiiiibu [emoji23][emoji23]... Ila tafuta backup na ww acha ufalaLeo asubuh kani unblock na kuishia kusalimiana tu hakuna kuulizana kimetokea nini jana usiku
Anajitoa ufahamu tu huyo...[emoji23][emoji23][emoji23]una uhakika haujui tatizo?
Basi leo nakutafuta tufanye lile jambo letu.Niko mjini hapa kulikoungua soko, wewe je?
Ondoa shaka kimwali 😍😍😍Basi leo nakutafuta tufanye lile jambo letu.
Ewaaaah!Ondoa shaka kimwali [emoji7][emoji7][emoji7]
Ana kuona boyaLeo asubuh kani unblock na kuishia kusalimiana tu hakuna kuulizana kimetokea nini jana usiku