The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Wewe zingatia 4Rs..Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali
Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana,
Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais
Nyuzi zake zote ni uongo na uzushi kwanini analelewa au mpaka siku aje adhuru watu huyu mtu ni hatari ni muongo
Wote huku hakuna hata mmoja ambaye anamkubali wote tunamchukia na anatukera
Tunaomba uongozi wa jamiiforums umfute huyu member anayeitwa Dennis Robert na pia nyuzi zake zote zifutwe nawasilisha
Hujui kuwa ktk hizo Rs moja inasimama badala ya neno "Resilience" kwa maana ya uvumilivu...?
Let all people exercise their freedom of expression kupitia jukwaa hili huru ili mradi kanuni na sheria za jukwaa zimezingatiwa...
JamiiForum sio kikao cha Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan aliyeogopa kutoka nje ya kikao ili ombi lake la kuomba kugombea U Rais lijadiliwe na wajumbe...
Nyie CCM mnataka maoni yanayowa favour tu ndo yasikike na kusomwa jukwaani. HILI HALIWEKEZEKANI. Ni lazima mle nyundo za kutosha mpaka muombe-poo..!