Naanda petition ya kumuondoa member anayeitwa Dennis Roberts na nyuzi zake zote zifutwe jamiiforums

Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali

Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana,

Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais

Nyuzi zake zote ni uongo na uzushi kwanini analelewa au mpaka siku aje adhuru watu huyu mtu ni hatari ni muongo

Wote huku hakuna hata mmoja ambaye anamkubali wote tunamchukia na anatukera

Tunaomba uongozi wa jamiiforums umfute huyu member anayeitwa Dennis Robert na pia nyuzi zake zote zifutwe nawasilisha
Umesahau slogan ya JF, "Where We Dare to Talk Openly" otherwise uwe unatafuta kazi ya kuwa moderator.
 
Hahaha wewe uko wapi, wewe na nani mna mchukia?

Wajinga ndio wanatakiwa humu JF hatutaki watu perfect wanaoogopa kuandika ukweli.

Kina Nalimi Kisandu ndio watu wanahitajika kwenye jukwaa la JF.
 
Sio kiazi tu ni maskini, na kapauka kau kau siuna-muona kwenye video zake
Kumbe unakumbuka reply zangu kwako wewe mbwiga, jitokeze nikutibu kichaa ,kwa sababu tatizo lako halina tofauti na la deo kisandu.
 
Sijui uzi unahusu nini ila nimesikitika sana.

Anyway, REMOVE Mtu poa_
 
Kumbe unakumbuka reply zangu kwako wewe mbwiga, jitokeze nikutibu kichaa ,kwa sababu tatizo lako halina tofauti na la deo kisandu.
Pale si kila mtu anaona ikiwemo mimi na watu wengine ni kama hii niliyoiandika kila mtu anaona na anaweza itumia kama reference huko baadae
ni kweli yule ni maskini na kapauka si hata video zake zinaonyesha hivyo
 
Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali

Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana,

Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais

Nyuzi zake zote ni uongo na uzushi kwanini analelewa au mpaka siku aje adhuru watu huyu mtu ni hatari ni muongo

Wote huku hakuna hata mmoja ambaye anamkubali wote tunamchukia na anatukera

Tunaomba uongozi wa jamiiforums umfute huyu member anayeitwa Dennis Robert na pia nyuzi zake zote zifutwe nawasilisha
Petition yako iwe na sababu za msingi kwanini nyuzi zake zifutwe na kwanini asochaguliwe kuwa rais wa taifa letu.Sababu hizo zisihusiane na mgongano wa kimaslahi iwekisiasa,kiitikadi,kidini,ukabila,ama uchawa.Pia katika hiyoukumbuke kila mtu anahaki ya kuchaguliwa kuwa kiongozi,awe na akili timamu anakidhi vigezo kwa maana ya umri.
 
Pale si kila mtu anaona ikiwemo mimi na watu wengine ni kama hii niliyoiandika kila mtu anaona na anaweza itumia kama reference huko baadae
ni kweli yule ni maskini na kapauka si hata video zake zinaonyesha hivyo
Kiazi wewe hizo drama zako kawachezee viazi wenzako
 
Petition yako iwe na sababu za msingi kwanini nyuzi zake zifutwe na kwanini asochaguliwe kuwa rais wa taifa letu.Sababu hizo zisihusiane na mgongano wa kimaslahi iwekisiasa,kiitikadi,kidini,ukabila,ama uchawa.Pia katika hiyoukumbuke kila mtu anahaki ya kuchaguliwa kuwa kiongozi,awe na akili timamu anakidhi vigezo kwa maana ya umri.
Yule kichaa, maskini wa kutupa hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata siku moja
 
Back
Top Bottom