min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mimi na mwanamke wangu adui yetu ni umaskini kama umesema hivyo umethibitisha moja kwa moja wewe ndio mwanamke wangu kwa huo msimamo wetu.Mimi na wewe adui yetu ni mmoja
Mimi na mwanamke wangu adui yetu ni umaskini kama umesema hivyo umethibitisha moja kwa moja wewe ndio mwanamke wangu kwa huo msimamo wetu.Mimi na wewe adui yetu ni mmoja
Sio comte kweli kama laa cocochanel ama laa strokeID yako ya zamani inaitwaje ?
Adui wetu ni Dennis tuungane tuhakikishe eondolewa jamiiforums na nyuzi zake zote kufutwaMimi na mwanamke wangu adui yetu ni umaskini kama umesema hivyo umethibitisha moja kwa moja wewe ndio mwanamke wangu kwa huo msimamo wetu.
Unatafuta umaarufu ambao hata haulipwi kiazi wewe.Adui wetu ni Dennis tuungane tuhakikishe eondolewa jamiiforums na nyuzi zake zote kufutwa
Wewe mwenye anakukeraga sana kama ilivyo mimi
Mimi natumia Id fake kama wewe nakuaje maarufu sheheUnatafuta umaarufu ambao hata haulipwi kiazi wewe.
Umejuaje yangu ni fake kama yako wewe kiazi?Mimi natumia Id fake kama wewe nakuaje maarufu shehe
Kuna haja gani wewe peke yako uamue kujilipua ?Lazima nitumie I'd nyingine kumlipua wote tuna I'd nyingi sio mimi
Yako ni fake profile picture yenyewe ya uongoUmejuaje yangu ni fake kama yako wewe kiazi?
Umejuaje ?Yako ni fake profile picture yenyewe ya uongo
Sikujua kama bado mtoto unaweka picture ya msanii wa marekani unasema ni wewe wahi mirembeUmejuaje ?
Wewe ulitaka niweke ipi na hili linakuhusunini tofauti na hii mada yako ya kifala?Sikujua kama bado mtoto unaweka picture ya msanii wa marekani unasema ni wewe wahi mirembe
Tumshughulikie huyu kapuku Dennis tuweke tofuati zetu pembeniWewe ulitaka niweke ipi na hili linakuhusunini tofauti na hii mada yako ya kifala?
Mimi sina tofauti na wewe napoteza mda ,tu hapa mda wakazi ufike , hivyo tafuta kazi ya kukuweka bize Mr Dennis acha ufala unaoufanya huko utakuja kupitwa na mda.Tumshughulikie huyu kapuku Dennis tuweke tofuati zetu pembeni
Naomba usinifananishe na huyo kapuku unanikosea heshima sanaMimi sina tofauti na wewe napoteza mda ,tu hapa mda wakazi ufike , hivyo tafuta kazi ya kukuweka bize Mr Dennis acha ufala unaoufanya huko utakuja kupitwa na mda.
🚮Naomba usinifananishe na huyo kapuku unanikosea heshima sana
Ukiingia jf kimakosa na kujiona kichwa cha heinsten hii ndo inaitwa jitetee kwa kutengeneza id mpya na kujishitakiHuyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali
Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana,
Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais
Nyuzi zake zote ni uongo na uzushi kwanini analelewa au mpaka siku aje adhuru watu huyu mtu ni hatari ni muongo
Wote huku hakuna hata mmoja ambaye anamkubali wote tunamchukia na anatukera
Tunaomba uongozi wa jamiiforums umfute huyu member anayeitwa Dennis Robert na pia nyuzi zake zote zifutwe nawasilisha
TlaatlaahBora huyo kulilo kunguni Lucas Mwashambwa