stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Kumbe ephen_ ni Lucas Mushamba?Huyo ni chawa mfawidh bobez lililokubuhu Lucas Mwashambwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ephen_ ni Lucas Mushamba?Huyo ni chawa mfawidh bobez lililokubuhu Lucas Mwashambwa
Kumbe wewe sio mjanja! Umechelewaje kujua vitu vya muhimu kama hiviHuyo ni chawa mfawidh bobez lililokubuhu Lucas Mwashambwa
Mjomba Maghayo tulia basi wewe utapanga bei ya Mahari, Mjomba ni MamaOyaa huyo dume mwenzako unamuita mchumba
Movie kali sana
I suggest hii part isiwepo ni ya kizamani sana, now days mission zimerahisishwa ndio mana hata ndege zinatumwa bila rubani,,Asante Sana bwana mdogo. Nimeshafanya mahesabu movie itagharimu dollars za kimarekani million moja. Kutakuwa na special effect, fictions na actions za kutosha. Mkono John black na wenzake watakaoutembeza utakuwa wa aina yake. Licha ya mkono kutakuwa na ma assault rifles machine guns na visu. Kuna part John atazungukwa na magaidi kama 12 nakuwachallange wekeni bunduki chini nyie kama wanaume tuzichape kavukavu. Yani iyo part usipime muuza madaf atakavyotembeza mkono anaruka kima cha tulia akitua chini kima cha joti magaidi yote chalii halafu hizo sarakas anabwaka na kuibuka kutua nakutembeza helkopta kicks za laana yani usipime.
Yani itakuwa gumzo blockbuster ya hatarii.
Siwezi kukubali kuchumbiwa na weweNipo kwenye harakati za kumchumbia