Naandaa script ya movie, Muuza madafu Encounter Freedom

Naandaa script ya movie, Muuza madafu Encounter Freedom

Asante Sana bwana mdogo. Nimeshafanya mahesabu movie itagharimu dollars za kimarekani million moja. Kutakuwa na special effect, fictions na actions za kutosha. Mkono John black na wenzake watakaoutembeza utakuwa wa aina yake. Licha ya mkono kutakuwa na ma assault rifles machine guns na visu. Kuna part John atazungukwa na magaidi kama 12 nakuwachallange wekeni bunduki chini nyie kama wanaume tuzichape kavukavu. Yani iyo part usipime muuza madaf atakavyotembeza mkono anaruka kima cha tulia akitua chini kima cha joti magaidi yote chalii halafu hizo sarakas anabwaka na kuibuka kutua nakutembeza helkopta kicks za laana yani usipime.

Yani itakuwa gumzo blockbuster ya hatarii.
I suggest hii part isiwepo ni ya kizamani sana, now days mission zimerahisishwa ndio mana hata ndege zinatumwa bila rubani,,

Muvi za kijamaa ndio zilikuwa na hayo mambo,
 
Back
Top Bottom