Naandika haya kwa uchungu sana

Tuishi humu🀝
 
Umefanya mjumlisho kutokana na frustrations zako mwanangu. Kwani mama yako ni mwanaume
 
Utakaza hadi lini?

We ingia tu uungane na waleta nyuzi za maumivu kwani maumivu ni sehemu ya maisha

Kwa mfano kifo si kinaumiza? Pamoja na jitihada zote umesikia kua watu wamepunguza kufa au hawafi kabisa?

Kwaiyo kijana ulie below 24, nachokushauri tafuta demu wakati ukifika weka ndani huku ukijua yaliyowakuta wengine yanaweza kukuta au ukaishia kuyasikia tu kwa wengine

Ndo maana halisi ya maisha...
 
Keyboard worriors wote wa "kataa ndoa" wana ndoa zao nyuma ya pazia, ila huingiza chaka kina Juniors wa 2000yrs old ili wazidi kujitafunia feminists na mishangazi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
kijana wangu, mimi kama mama yako nakushauri acha mawazo potofu kuhusu wanawake. Relationships are very complicated if you dont know kile unahitaji kama mwanaume.

Vijana wengi mnafail sababu hamjui mnataka nini kwa mwanamke.
-je unataka wa kusex tu kukupa raha?
-je unataka wa kukuzalia tu mtoto/watoto?
-je unataka wa kuishi nae kama mke na kujenga familia pamoja?
-au unataka wa kukulea wewe?

ukijua unataka nini utachoose wisely my son. Take care
 
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
Hivi mwanaume unawezaje kuwa na furaha bila kuchakata? Am sure "umeandika haya kwa uchungu" ukute hujachakata kitambo, tafuta manzi zabua, utakuja futa huu uzi. Less than 24 years unataka ukae mbali na wanawake daaaah
 
Sijui mnatumiaga nn kufikiri wanawake mnawakandia huku mnashauri tuwapende wazazi kwamba baba zenu wasingeamua kuwavumilia mama zenu mngewakuta wako pamoja au mama zenu wako perfect ?

Ndo mana kuna wenzenu kwa kuogopa wanawake wanaaamua kuwa wanawake

Mwanaume gangamala miyeyusho ya wanawake ni sehemu ya changamoto
 
Kijana bado mdogo sana. Subiri subiri walau ufikishe 27 ndio uanze kutoa ushauri wa kataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…