kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 623
- 606
Hapana mkuu hii kampeni ya kataa ndoa ni kuwatangisha watu mbali na MunguBora hivyo kuliko kufadhaishwa Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu hii kampeni ya kataa ndoa ni kuwatangisha watu mbali na MunguBora hivyo kuliko kufadhaishwa Mkuu
daahDogo Chunya moja Siyo?
Biology is the study of living things and their characteristics including their mbunye.What is biology
Tumkuze, tumlinde hadi apate senior positions halafu ole wake alambishwe huko atukimbie!Kataa ndoa tumepata intern kijana mdogo kabisa😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumkuze, tumlinde hadi apate senior positions halafu ole wake alambishwe huko atukimbie!
😂
Siwezi by mariooooBiology is the study of living things and their characteristics including their mbunye.
Ndio ndio….🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe na wewe ni mwanachama babe?
Hii ni mara ya tano nakuambia.Mkishauri wenzenu hivi, wapeni better options kama kutafuta hela na kuishi maisha yao kwa kuzingatia fact ya maisha kwamba si kila atakayetafuta hela atapata, hasa huku kwa third world dwellers, ndio maana kuna watu wameshazeeka hela hawana sababu ya uncertainties zilizopo kwa nchi masikini, kwa nchi zingine as long as unafanya kazi, pesa utapata.
Hizi options mnazowaoptia wenzenu za kuwapenda ndugu zao, kuwapenda wazazi na marafiki hazina msingi , kwasababu kwanza hao unaowapenda na kuwang’ang’ania wana watu wao wanaowapenda na kuambatana nao, you will one day try to fit in na kila mtu anakukataa yuko busy na mtuwe . Ndugu zetu/marafiki zetu wana waume/wake zao ambao usipokuwa makini utaanza kuwagombanisha ili uwe in control. Huwa tunawaona very toxic individuals sababu yenu yamewashinda. Kivipi uning’ang’anie mimi nduguyo wakati mi nina bwanaangu namng’ang’ania?
Kataa ndoa let’s be realistic and reasonable tufubdishane “the art of being alone” na kutafuta hobbies.
Sitawafundisha kila kitu 😂👋🏻
ni ngumu sana kukuta kijana wa 2000 mwenye akili km weweHabari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.
Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake.
Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.
Ee Kijana wa kiume zingatia haya:
📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri
📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.
Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
😂😂😂😂 Nipekele Lugalo kawaambie nimewatukana!Hii ni mara ya tano nakuambia.
Jaribu kutuambia kwa ustaarabu habari za kufokeana si wengine hatuwezi tuna hasira za karibu...
Sio mara ya kwanza unafokea wenzako na ukiambiwa unadai wewe usikii
Your medicine is boiling
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mimi kwenyewe jeshi tosha nikija na huyu Vishu Mtata...😂😂😂😂 Nipekele Lugalo kawaambie nimewatukana!
Dogo kuanzia hapa umeanza kutuvuruga Sasa.Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa
Ntapigwa niachakae?Mimi kwenyewe jeshi tosha nikija na huyu Vishu Mtata...
Ila punguza kufokea wenzako.. sio wenzako acha kabisa kufokea wanaume...
Mimi nipo peace that why nimekupanga mapema ila kwengine huko unapigwa wewe 😂😂😂😂😂
Nimekumiss sana serious nahisi baridiSiwezi by marioooo
Ahahha unauliza majibu...Ntapigwa niachakae?
Nipo kazini...Nimekumiss sana serious nahisi baridi
Mvurugo ushapita hapoHabari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.