Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Safi sana dogo utaishi kwa raha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mxieeeeww!! 😹😹Akuuuuhhh....weeeeehhh kwa uzuri gani alonao 🤣
Pole bffMe too bff 😍😍
Niliona umeniulizia selfika nikashindwa kukujibu nna ban kule 😹
Niko mzima wa afya ila naweweseka usiku, naota ndoto mbaya, nawaza sana lile tukio.
Na watu nawafahamu basi balaa tupu.🥹
Kwahiyo na ualimu wako wa bayoloji ndo ukaona uwadanganye wenzio hivi..!!??Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.
Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake.
Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.
Ee Kijana wa kiume zingatia haya:
📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri
📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.
Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
😁😁😁😁acha zako wewe ndoa inautamu wakeHabari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.
Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake.
Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.
Ee Kijana wa kiume zingatia haya:
📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri
📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.
Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
🤣🤣🤣 huo ni moyo au bakuli?? Kamoyo kangu kadogo mno hakawezi kuhifadhi vijeba kama kaka ako extro.... kwanza kanitelekezaa nina asira nae mnoMxieeeeww!! 😹😹
Wewe huyo? Mapigo yako ya moyo yakipiga yanadunda Extro, Extro 🤣
Amen 🙏Pole bff
Nashukuru kukuona ukiwa Hai
Nmekuulizia ndiyo
Nilitaka kujua kama upo okay
Troka uko, uongooo 😹😹🤣🤣🤣 huo ni moyo au bakuli?? Kamoyo kangu kadogo mno hakawezi kuhifadhi vijeba kama kaka ako extro.... kwanza kanitelekezaa nina asira nae mno
Em hukoo niacheee 🤣🤣🤣🤣🤣 kwanza likaka lako lilaku la dydyuTroka uko, uongooo 😹😹
Hapo nimekutajia umeloa lione kwanza 🤣
Hawasemi kuwa single wanasema kutokuoa.Mapenzi yamenibadilisha siku hizi sinaga ubabee
Nishakuwa guta yaache moyoni niyabebe baby
Mi ndio kuku wako ukitaka mayai niyatage semaaa
Na ukiona na ujinga we nisitiri usinibwage
Sina matamanio nishavukaga huko
Sitolivua vazi la heshima ulonivika kwa upendo
Sina matarajio ya kuondoka kwako, dunia ishabadili wengi waka vituko
Imagine listening to this yammy's song na uko single yereuwiiiiuu wasisitize kung'ang'aniana hahaaaa
😂😂😂😂💔Hao wazazi na ndugu zako unaotaka kuwajali watatoka wapi kama kila mmoja atakataa ndoa
Kwa umri alionao, naweza kusema atakuja kuwa mtu bora sana. Ana uwezo wa kujifunza kwa haraka, hivyo, atazidi kujifunza zaidi, kwa haraka.Gen Z katika ubora wenu, je hujaona wengine wanaoenjoy Umeona wanaoteseka tu? Ndugu je ma uncle na aunt hamna wanaoenjoy?
''Kuwekwa na mtu mmoja tu''!Hawasemi kuwa single wanasema kutokuoa.
Kama mwanamume rijali na mwanamke rijali huwezi kutokuwa na mwenza siku zote, na mwanamke ndio kabisa kuna kipindi unataka “kuwekwa na mtu mmoja tu”
Eti hautaishi kwa Bakari Nondo Mwamnyeto, vijana siku hizi mmekuwa na akili tata sana.dogo ume WRONG. bila mwanamke utamalizia wapi haja ya mwili wako!?
imeandikwa;-
Mwanaume timilifu hautaishi kwa
"bakari nondo MWAM....''
tu, bali kwa kula TUNDA/MBUSUSU/PAPUCHI pia, ili kuimarisha AFYA ya UBONGO.
Unfortunately…''Kuwekwa na mtu mmoja tu''!
Nadhani hii inaweza kuwa moja ya sababu, ya wanawake wengi kupenda ndoa.
Wazazi wenyewe walioana...tapeli weweHabari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.
Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake.
Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.
Ee Kijana wa kiume zingatia haya:
📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri
📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.
Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
Mmoja tu sounds cool till akusumbue au uachweHawasemi kuwa single wanasema kutokuoa.
Kama mwanamume rijali na mwanamke rijali huwezi kutokuwa na mwenza siku zote, na mwanamke ndio kabisa kuna kipindi unataka “kuwekwa na mtu mmoja tu”
Labda nife kwa ajili yako kiben ten 😊utakufa mapema sana