Naandika haya kwa uchungu sana

Naandika haya kwa uchungu sana

Ahahha unauliza majibu...
Unapigwa serious kuna watu hawapigi kuumiza ila wanapiga kuua....

Ongea sana ila ukijichanganya ukapita mitaa yetu huku.. utaelewa

Ila all ina all mtu anaye shauri tuachane na mwanamke sijui tupende wazazi wetu sijui tupende nini...
Wote wanaongea kutokana na hisia tu ya mda mfupi ndo mana wanasema """don't make a permanent decision based on temporary emotion"""
Kunywa maji kwa mangi, mwambie bill ntalipa mwisho wa mwezi 😀
 
This is why situmii JF often, ukisema tu uko under 25 basi kila mtu atajiona anajua zaidi yako na kupotezea ulichoandika no matter how critical. Inavyoonekana humu kumejaa wazee waliopigika kila kona ya maisha.
UPO SAHIHI MNO.
 
Kuna mmoja anaenda kulia kilio kikuu sio mda. Mke wake ana inginia mipango ya kutoloka na kumtekelezea mtoto wa mwaka mmoja.

Pia anasuka mipango ya kuuza vitu vya ndani ili apate naluli na kianzio asepe, hapa kila siku anaomba no. za madalali

Sasa sijui busara ni kumshtua au ni kuachana na mambo ya watu, ila inaniuma sana hii kitu.
 
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.

Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake.

Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.

Ee Kijana wa kiume zingatia haya:

📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa

📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri

📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani

Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.

Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake

😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
Mama yako aliyekuzaa ni mwanaume???
 
Tulia, omba kwa kutumia imani yako ya jadi, utapata mwanamke uliyeandikiwa na Mungu, utaishi maisha mazuri kwa kuzingatia yale maneno. " mmekuwa mwili mmoja ".
 
Mkishauri wenzenu hivi, wapeni better options kama kutafuta hela na kuishi maisha yao kwa kuzingatia fact ya maisha kwamba si kila atakayetafuta hela atapata, hasa huku kwa third world dwellers, ndio maana kuna watu wameshazeeka hela hawana sababu ya uncertainties zilizopo kwa nchi masikini, kwa nchi zingine as long as unafanya kazi, pesa utapata.

Hizi options mnazowaoptia wenzenu za kuwapenda ndugu zao, kuwapenda wazazi na marafiki hazina msingi , kwasababu kwanza hao unaowapenda na kuwang’ang’ania wana watu wao wanaowapenda na kuambatana nao, you will one day try to fit in na kila mtu anakukataa yuko busy na mtuwe . Ndugu zetu/marafiki zetu wana waume/wake zao ambao usipokuwa makini utaanza kuwagombanisha ili uwe in control. Huwa tunawaona very toxic individuals sababu yenu yamewashinda. Kivipi uning’ang’anie mimi nduguyo wakati mi nina bwanaangu namng’ang’ania?

Kataa ndoa let’s be realistic and reasonable tufubdishane “the art of being alone” na kutafuta hobbies.

Sitawafundisha kila kitu 😂👋🏻

Mapenzi yamenibadilisha siku hizi sinaga ubabee

Nishakuwa guta yaache moyoni niyabebe baby

Mi ndio kuku wako ukitaka mayai niyatage semaaa

Na ukiona na ujinga we nisitiri usinibwage

Sina matamanio nishavukaga huko
Sitolivua vazi la heshima ulonivika kwa upendo

Sina matarajio ya kuondoka kwako, dunia ishabadili wengi waka vituko

Imagine listening to this yammy's song na uko single yereuwiiiiuu wasisitize kung'ang'aniana hahaaaa
 
Ndoa ni uwekezaji kwa mwanamke na kamari kwa mwanaume. Make your decision wisely
 
Back
Top Bottom