Naandika tena kuhusu Clotous Chota Chama "Triple C" Mwamba wa Lusaka

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Braza,
Wewe ni mchezaji mkubwa.
Wewe ni Maestro. Lakini bàadhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha kiuanamichezo.

Kwa makusudi ulihatarisha Afya ya mchezaji mwenzako ukijua soka ndo ajira yake kubwa. Hivi pale ulipopanda juu ya mguu wake akiwa chini ungemvunja roho yako Leo ingekuwa na Amani?

Hili si tukio la Kwanza. Mwaka Jana umefanya hivyo mara 2 na nilikusema, lakini inaonekana mbali ya kuadhibiwa na Bodi ya Ligi bado hujajifunza.
Tafadhali Maestro, hebu dumisha uungwana dhidi ya Wachezaji wenzio. Jali usalama wa wenzio maana nao wanategemea soka kama wewe.
 
Braza,
Wewe ni mchezaji mkubwa.
Wewe ni Maestro.
Lakini bàadhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha kiuanamichezo. Kwa makusudi ulihatarisha Afya ya mchezaji mwenzako ukijua soka ndo ajira yake kubwa. Hivi pale ulipopanda juu ya mguu wake akiwa chini unhemvunja roho yako Leo ingekuwa na Amani?

Anafanya maksudi afungiwe asicheze mechi zijazo ndio yale yale ya Inonga
 
Unaweza kuwa sahihi mkuu. Baada ya kuonyeshwa Kadi ya njano kuna kitendo alitaka kukifanya kingempa Kadi ya njano ya pili na kisha nyekundu Ila akasita. Alifanya faulo dhidi ya Mudathir, refa alipopiga filimbi akashika mpira Kwa hasira akataka kuudunda chini, akasita na kuuachia.
 
Braza,
Wewe ni mchezaji mkubwa.
Wewe ni Maestro.
Lakini bàadhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha kiuanamichezo. Kwa makusudi ulihatarisha Afya ya mchezaji mwenzako ukijua soka ndo ajira yake kubwa. Hivi pale ulipopanda juu ya mguu wake akiwa chini unhemvunja roho yako Leo ingekuwa na Amani?
Hili si tukio la Kwanza. Mwaka Jana umefanya hivyo mara 2 na nilikusema, lakini inaonekana mbali ya kuadhibiwa na Bodi ya Ligi bado hujajifunza.
Tafadhali Maestro, hebu dumisha uungwana dhidi ya Wachezaji wenzio. Jali usalama wa wenzio maana nao wanategemea soka kama wewe.
 
Attachments

  • VID-20240421-WA0064.mp4
    765.1 KB
Unaweza kuwa sahihi mkuu. Baada ya kuonyeshwa Kadi ya njano kuna kitendo alitaka kukifanya kingempa Kadi ya njano ya pili na kisha nyekundu Ila akasita. Alifanya faulo dhidi ya Mudathir, refa alipopiga filimbi akashika mpira Kwa hasira akataka kuudunda chini, akasita na kuuachia.
Mechi ilikuwa na presha. Huenda ni ile kutaka kubadili mambo halafu haiwezekani sasa hasira nazo zinaingia.
 
Nimecheza mpira nakubali emotions za Mechi. Lakini kurudia kitendo kilekile cha kukanyaga wenzio makusudi Kila Mechi kosa refa haluoni si uungwana. Football is all about fair play.
 
Itakua jambo la kipuuzi kama bodi ya Ligi itaacha iliipite. Chama amaekua akifanya hivi kwa muda mrefu hasa kwenye dabi ya Yanga.
Bodi ya Ligi nafikiri itakuja na dawa/ mwarobaini kwa Chama kwakua amesha Fanya zaidi ya mara 4 katika dabi tofauti.
Simwombei adhabu lakini namwambia yeye mwenyewe aone umuhimu wa kujali Afya za wenzake. Kwa hili Chama amekuwa katili Sana.
 
Triple C's, you know it's fact, we holdin' sacks So niqqa go on rat, run and tell 'em that.
More cars, more oz,More clothes ,more ****.
 
na wao pia wajali afya ya chama .....Chama nae ana mifupa,nyama na damu na anaumia kama wao......tuache double standard ......wakina Job na baca Kuna muda wanacheza kiasi Cha kuhatarisha afya za wenzao ila huwezi sikia pye pye pye ........

Match ya mwaka Jana ....diara alimkuta kibu denga na mpaka kibu akatolewa nje ila husikii pye pye pye za kulinda afya za wenzako......vipi Jana job kwa ntibazonkiza ? .....

au pengine sababu ni chama ? .....Leo hii pacome yupo nje kwa majeraha na aliemuumiza sijaiona hata thread Moja ya kumwambia anahatarisha afya za wenzako ??? vipi ambae alimuumiza Yao ?....Inonga vs kmc ?? Lomalisa vs .....? Double standard...
🚮🚮
 
Bodi ya Ligi haitakiwi kupepesa macho kwa ishu za Chama, apate adhabu Tena adhabu inayo endana na mtu anaye fanya kosa lilelile la kukusudia kuumiza wenzake.
 
Back
Top Bottom