Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Braza,
Wewe ni mchezaji mkubwa.
Wewe ni Maestro. Lakini bàadhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha kiuanamichezo.
Kwa makusudi ulihatarisha Afya ya mchezaji mwenzako ukijua soka ndo ajira yake kubwa. Hivi pale ulipopanda juu ya mguu wake akiwa chini ungemvunja roho yako Leo ingekuwa na Amani?
Hili si tukio la Kwanza. Mwaka Jana umefanya hivyo mara 2 na nilikusema, lakini inaonekana mbali ya kuadhibiwa na Bodi ya Ligi bado hujajifunza.
Tafadhali Maestro, hebu dumisha uungwana dhidi ya Wachezaji wenzio. Jali usalama wa wenzio maana nao wanategemea soka kama wewe.