Naandika tena kuhusu Clotous Chota Chama "Triple C" Mwamba wa Lusaka

asa nin cha ajabu mchezaji kucheza rafu ivo vitu vipo kweny ulimwengu wa soka had ulaya ivo vitu vipo na vinatokea kila siku mfano umeona jana Caicedo alichomfanya Jack Grealish kweny game ya city na Chelsea Jack alichwapwa kiautu had alifanyiwa sub wakati anatoka nje alikua anamtukana matusi mda wote caicedo na Refa hakutoa kadi nyekundu wala nin mpira vita mpira sio burudani
 
Wewe ni kichwa maji mno sasa mbona huko ulaya wanaume wanaolewa na wewe hàuolewi? Yaani hauwezi kuchambua kitu mpaka uhusishe na ulaya?
 
afu mim nimekupa mfano kweny field hiyo hiyo ya soka ambapo marefa wote na mashirikisho yote ya soka duniani yapo chini ya sheria ya FIFA .mfano mdogo tu sheria ya kadi ya njano na nyekundu inatumika dunia nzima.kwanin nchi yako hatumii kadi ya zambarau na nyeusi ulivomjinga unaleta habari za ushoga apa nimekudharau sana na apo ulipo apo yawekezekana umesoma hadi chuo kikuu afu unakua huna logic wale uwezo wakufanya comparision mkeo na watoto wako watapata tabu sana
 
na wao pia wajali afya ya chama .....Chama nae ana mifupa,nyama na damu na anaumia kama wao......tuache double standard ......wakina Job na baca Kuna muda wanacheza kiasi Cha kuhatarisha afya za wenzao ila huwezi sikia pye pye pye ........

Match ya mwaka Jana ....diara alimkuta kibu denga na mpaka kibu akatolewa nje ila husikii pye pye pye za kulinda afya za wenzako......vipi Jana job kwa ntibazonkiza ? .....

au pengine sababu ni chama ? .....Leo hii pacome yupo nje kwa majeraha na aliemuumiza sijaiona hata thread Moja ya kumwambia anahatarisha afya za wenzako ??? vipi ambae alimuumiza Yao ?....Inonga vs kmc ?? Lomalisa vs .....? Double standard...
[emoji706][emoji706]
Kuna Mtu alikuzuia kuandika kuhusu uliowataja? Mbona unajipa umuhimu usio wako kuanza kupangia watu waandike nini? Hii si thread yangu ya Kwanza kuandika kuhusu Afya za Wachezaji. Nikiandika kuhusu Inonga, kuhusu Ninja, kuhusu Mukoko Kigoma nk. Si wajibu wangu kukutag uje usome Kila ninapoandika. Rough ya Jana dhidi Kibu nitakuwa sina kichwa kama nitaiona kuwa hatari wakati ilichezwa kwenye transition.
 
Hii mara ya pili kucheza rafu kama hizi kwenye Derby na wanamwacha, juzi Aucho alimchezea rafu mchezaji wa Cost akapigwa ban mechi tatu,Bin Kazumari kaandika gazeti refu hapa hili kosa litaenda bila adhabu.
Braza,
Wewe ni mchezaji mkubwa.
Wewe ni Maestro. Lakini bàadhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha kiuanamichezo.

Kwa makusudi ulihatarisha Afya ya mchezaji mwenzako ukijua soka ndo ajira yake kubwa. Hivi pale ulipopanda juu ya mguu wake akiwa chini ungemvunja roho yako Leo ingekuwa na Amani?

Hili si tukio la Kwanza. Mwaka Jana umefanya hivyo mara 2 na nilikusema, lakini inaonekana mbali ya kuadhibiwa na Bodi ya Ligi bado hujajifunza.
Tafadhali Maestro, hebu dumisha uungwana dhidi ya Wachezaji wenzio. Jali usalama wa wenzio maana nao wanategemea soka kama wewe.
Der
 
asa nin cha ajabu mchezaji kucheza rafu ivo vitu vipo kweny ulimwengu wa soka had ulaya ivo vitu vipo na vinatokea kila siku mfano umeona jana Caicedo alichomfanya Jack Grealish kweny game ya city na Chelsea Jack alichwapwa kiautu had alifanyiwa sub wakati anatoka nje alikua anamtukana matusi mda wote caicedo na Refa hakutoa kadi nyekundu wala nin mpira vita mpira sio burudani
Rafu kama hii EPL ni red card,Jack alichezewa rafu ila sio kama hii, EPL sometimes ukimrukia mchezaji ukamkosa yy na mpira unakula red.Chama hii rafu ya Kukita ni ya pili na tena VAR mara nyingi sana kwenye magoli ndio baadhi ya wasiamazi wanachemka ila rafu sikumbuki kam kuna mchezaji alisha onewa kwa kupewa red card kipindi hiki cha VAR.

Mpira ni mchezo wa kugusana rafu zitakuwapo na ndio maana kuna rafu ambazo sio kadi, kuna rafu za kadi ya njano na kuna rafu za kadi nyekundu moja kwa moja. Ile ya Chama ni straight red card,tena hii mara ya pili anamkita mchezaji wa Yanga kwenye Derby mbili tofauti,ya kwanza Fei tena Fei ni kwenye enka,jana Kibabage na zote hakuadhibiwa.
 
Kibabage alimchezea chama rafu ngapi Tena za kijinga, alikuwa anataka ujiko kupitia chama, siku nyingine ajifunze acheze mpira na sio kutaka siga
Kumbe uliliona hili mkuu, wao wanaangalia tu alichofanya Chama. Kuna mzuka wa uwanjani kwa muda husika na kitendo kinachoendelea na ulichofanyiwa before, ushabiki wa pembeni kusema asingefanya hiki au angefanya hiki bila kujua the move iliyokuwepo ni uropokaji tu.
 
asa nin cha ajabu mchezaji kucheza rafu ivo vitu vipo kweny ulimwengu wa soka had ulaya ivo vitu vipo na vinatokea kila siku mfano umeona jana Caicedo alichomfanya Jack Grealish kweny game ya city na Chelsea Jack alichwapwa kiautu had alifanyiwa sub wakati anatoka nje alikua anamtukana matusi mda wote caicedo na Refa hakutoa kadi nyekundu wala nin mpira vita mpira sio burudani
Justification kama hizi huwa sirespond kabisa.
 
Rafu kama hii EPL ni red card,Jack alichezewa rafu ila sio kama hii, EPL sometimes ukimrukia mchezaji ukamkosa yy na mpira unakula red.Chama hii rafu ya Kukita ni ya pili.

Mpira ni mchezo wa kugusana rafu zitakuwapo na ndio maana kuna rafu ambazo sio kadi, kuna rafu za kadi ya njano na kuna rafu za kadi nyekundu moja kwa moja. Ile ya Chama ni straight red card,tena hii mara ya pili anamkita mchezaji wa Yanga kwenye Derby mbili tofauti,ya kwanza Fei tena Fei ni kwenye enka,jana Kibabage.
Nenda kangalie vizuri rafu ya caicedo afu urudi apa wew unazani kwanin jack alikua anawatukana waamuzi had anafika kweny Bechi ile ilikua Red card ila refa alikaza fuvu
 
Game nimetizama VAR sijawahi kuiona ikikosea kwenye matukio ya red card,ukiona hivyo jua ni faulo za kawaida.
 
Yanga SC nyie mbwa tu tulieni endelea na kelele zenu na kuvaa uniforms
Hasira zanini kolo? Kunywa maji kwanza
 
Attachments

  • Screenshot_20240307_030348_Instagram.jpg
    Screenshot_20240307_030348_Instagram.jpg
    227 KB · Views: 1
Game nimetizama VAR sijawahi kuiona ikikosea kwenye matukio ya red card,ukiona hivyo jua ni faulo za kawaida.
EPL sheria inamruhusu refa kuwa final decision wa maamuzi yote haijarishi VAR imesema kitu gani kama VAR imesema penati ila Refa hajalizika na mamuzi ya VAR ana haki ya kukataa sio penati Rejea maamuzi ya mechi ya mzunguko wa kwanza Msimu huu kati ya Spurs na livepoor ndio utafamu power aliyepewa refa kweny decision
 
VAR kuna makosa mengi kwenye maamuzi ya magoli,ila red card sijawahi ona kwenye EPL.

Sijawahi ona VAR mtu kakitwa then hasipewe red card sijawahi.
 
kama kweny magoli inakosea kwan kweny Red card ishindwe kukosea makosa yapo mengi tu kam una time rudia kutazama mechi zote za ligi vizuri za msimu huu utakuna na hayo makosa maana inawezekana unangalia mechi za Big six tu
 
Braza,
Wewe ni mchezaji mkubwa.
Wewe ni Maestro. Lakini bàadhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha kiuanamichezo.

Kwa makusudi ulihatarisha Afya ya mchezaji mwenzako ukijua soka ndo ajira yake kubwa. Hivi pale ulipopanda juu ya mguu wake akiwa chini ungemvunja roho yako Leo ingekuwa na Amani?

Hili si tukio la Kwanza. Mwaka Jana umefanya hivyo mara 2 na nilikusema, lakini inaonekana mbali ya kuadhibiwa na Bodi ya Ligi bado hujajifunza.
Tafadhali Maestro, hebu dumisha uungwana dhidi ya Wachezaji wenzio. Jali usalama wa wenzio maana nao wanategemea soka kama wewe.
Kama hii aliifanya Morison akadhibiwa, nakimbuka pia aliifanya Aucho akadhibiwa na ilifanywa na Yao Jeshi akaadhibiwa. Ngoja tuone hii bila kujali Yanga ameshinda lakini haki ni vema itendeke.
 
Back
Top Bottom