Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,237
- 1,744
Itakuwa kilio na kusaga meno kwa wale watakaoachwa. Tumkatae shetani anayetaka tuteseke duniani, halafu tena tuteseke milele motoni.
We unamjua shetani/lucifer unajuaje kama shetani ni kiumbe kiumbe ni vipi siku ya mwisho ukakuta huyo mungu unayemuabudu ndio shetani mwenyewe, Dunia imejaa ubatili mtupu, Mungu wako kama ni mwema kwanini aache watu wakiteseka?Napata masikitiko makubwa moyoni ninapoona baadhi ya watu katika forum hii wakijitambulisha kwa majina ya kishetani au yanayohusiana na uchawi. Nauliza kwa unyenyekevu lakini kwa uchungu wa rohoni: Kwa nini mtu achague jina la kumtukuza shetani, ambaye ni adui wa nafsi za wanadamu wote?
Ni kweli kwamba mtu anapata amani ya kweli moyoni akiwa chini ya utambulisho unaomhusisha na ibilisi? Je, hatujui kuwa shetani hana huruma wala upendo, na kazi yake ni kuiba, kuchinja, na kuharibu?
Tumeisahau kweli ya maandiko? Si imeandikwa wazi kwamba mwisho wa shetani ni kutupwa katika ziwa la moto, yeye pamoja na wote wanaomfuata? Mtu akijiambatanisha naye, si anachagua hatima hiyo hiyo kwa hiyari yake mwenyewe? Kwanini?
Kwa nini mtu ajivunie jina au utambulisho wa kiumbe aliyelaaniwa na Mungu, badala ya kumtafuta Yesu ambaye anatoa uzima wa milele?
Jamani, shetani ni muongo, muongo, muongo. Anaweza kukushawishi uwe mfuasi wake, akakuahidi kukupa na mapesa mengi. Lakini huo ni mtego. Anataka uangamie pamoja naye milele.
Nauliza tena, kwanini mtu ajiite jina linalomtukuza shetani? Mtu anapata faida gani? Ni kutafuta umaarufu? Ni kwa mzaha? Au ni kwa kutojua tu?
Huu ni wakati wa kutafakari, kutubu, na kurudi kwa Mungu wa kweli kabla milango ya neema haijafungwa.
Mambo yanayotokea duniani nyakati hizi ni udhihirisho wa wazi kuwa Yesu amekaribia sana kuja kuwachukua watakatifu na kuwapeleka mbinguni.
Itakuwa kilio na kusaga meno kwa wale watakaoachwa. Tumkatae shetani anayetaka tuteseke duniani, halafu tena tuteseke milele motoni.
Weqw endelea ila akija hapa akasema anahitaji uthibitisho utoboi wwNimekumbuka, Kiranga anaogopa sana vifungu. Hawezi kamwe kuja hapa
Ndio na uhakikaUna hakika?