MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Una uhakika bro? Mbona anaongea kama Profesa kabisa....full madini?!!!stori ya mvuta unga unaiangalia wewe kisha unatuuliza sisi?
Hajaongelea masuala ya DP World kabisa! Anasema alikua Arusha,....huenda bado hajazipata habari za DP World!Tumpe mrejesho anasemaje
Msimuliaji yupo kwenye Jamii.....na Jamii ina watu. Na watu wenyewe wapo humu JFUkweli anaufahamu msimuliaji
Wapi bro? Tukumbushe!Alimwagaga radhi uyu
Kitambo 2012 hivi alikua anaojiwa na tv flani, sasa kuweka ile miguu kimiss kupandisha mmoja over mwingine kumbe ndani hajavaa boxer. Kwa aibu alipotea nadhani na kuimba akaacha.Wapi bro? Tukumbushe!
aiseeKitambo 2012 hivi alikua anaojiwa na tv flani, sasa kuweka ile miguu kumiss kupandisha mmoja over mwingine kumbe ndani hajavaa boxer. Kwa aibu alipotea nadhani na kuimba akaacha.
Aaah sio kweli bhana!! Yeye anasema sababu ya kupotea kwenye mziki ni yule mzazi mwenzie ( amesema jina lake anaitwa MARIOO )Kitambo 2012 hivi alikua anaojiwa na tv flani, sasa kuweka ile miguu kumiss kupandisha mmoja over mwingine kumbe ndani hajavaa boxer. Kwa aibu alipotea nadhani na kuimba akaacha.
Alikuwa sio msanii huyuu mbona jambo la kawaida tu hilo 😁Kitambo 2012 hivi alikua anaojiwa na tv flani, sasa kuweka ile miguu kimiss kupandisha mmoja over mwingine kumbe ndani hajavaa boxer. Kwa aibu alipotea nadhani na kuimba akaacha.
alimfanyajeAaah sio kweli bhana!! Yeye anasema sababu ya kupotea kwenye mziki ni yule mzazi mwenzie ( amesema jina lake anaitwa MARIOO ) View attachment 2677620
Kasema , alikua anamnyanyasa kisaikolojia...kabla hajawa na Paula Kajalaalimfanyaje
Anaonekana smart sana. Nimempenda bure! Mwenye namba yake please!!!!Nimesikiliza.
Nimeona...
Zakusikia ongeza na zako
bila shaka ile nyimbo ya kata simu tuko site huwenda alimtungiaKasema , alikua anamnyanyasa kisaikolojia...kabla hajawa na Paula Kajala
Enzi za Nissan safari na mark 11