MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #41
Yeye anasema , MARIOO ndiye aliyemtongoza...akaona isiwe case ...akamkubalia.Marioo Huyu Katoto kajuzi tu jamani!!
Hawa wadada wa mjini hawa kaaz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anasema , MARIOO ndiye aliyemtongoza...akaona isiwe case ...akamkubalia.Marioo Huyu Katoto kajuzi tu jamani!!
Hawa wadada wa mjini hawa kaaz
Hana baya Huyu rararereHata nikichangia pumba unanipaga like[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
That is the mentality bro!Hamna pumba 😄 no news is bad news
Ndio uweke akilini hiyo 🙂That is the mentality bro!
Ndio wengi hawana hiyo mkuuNdio uweke akilini hiyo 🙂
Haka kamario kapuuz sana kanafanana kama ndege joniAaah sio kweli bhana!! Yeye anasema sababu ya kupotea kwenye mziki ni yule mzazi mwenzie ( amesema jina lake anaitwa MARIOO ) View attachment 2677620
Unajambajamba hovyo hovyo jamvin.Nimecheka mpaka kaushuzi kwà mbaaaaaaaaliiii.... [emoji23] [emoji23]
Chuga bila bange haiwezekanHajaongelea masuala ya DP Word kabisa! Anasema alikua Arusha,....huenda bado hajazipata habari za DP Word!
Givumii ze koneksheni mkuuKitambo 2012 hivi alikua anaojiwa na tv flani, sasa kuweka ile miguu kimiss kupandisha mmoja over mwingine kumbe ndani hajavaa boxer. Kwa aibu alipotea nadhani na kuimba akaacha.
Nancy ni mdogo ake kabisaMr politician~ilimpeleka Town huyu mdada.....Naona alipotoka chadema na kuhamia ciciem akapotea kabisa.
Hivi Ana undugu na Nancy Sumari?
Anhaa.....mbona alipotea ilikuwaje?Nancy ni mdogo ake kabisa
Sio Marioo huyu msaniii.Anaonekana smart sana. Nimempenda bure! Mwenye namba yake please!!!!
MARIOO kumbe sio mtu mzuri hata kidogo! Kuanzia leo sifuatilii tena miziki yake....kumbe jamaa ni boya sana....kamnyanyasa sana dada wa watu bila hata huruma!
Afu chadema walikua wanataka kumpa ubunge viti maalumu akapoteza bahatiMr politician~ilimpeleka Town huyu mdada.....Naona alipotoka chadema na kuhamia ciciem akapotea kabisa.
Hivi Ana undugu na Nancy Sumari?
Mmmhh....balaa basiYeye anasema , MARIOO ndiye aliyemtongoza...akaona isiwe case ...akamkubalia.
Dah, na wewe umepita humo bro?X wangu
Dah, na wewe umepita humo bro?
Ni MARIOO gani ,...tuambie wewe basi.Sio Marioo huyu msaniii.