MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #241
Mimi ni mtu mcheshi sana na pia ni mkimya sana.Unashughulikaga na vitu vya ajabu sana
Mcheshi sio kwà KILA mtu. Hapa kwasababu hatuonekani naweza kuwa mcheshi zaidi.
Integrity yangu huwa imejaa udadisi sana...ambao una ucheshi ndani yake....