MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #201
[emoji15] Kumbe!!!wewe utakuwa ulikuja mjini na gari ya mmkaa, alisema mwanaume aliezaa nae ni mwanaume anaependa kitonga a.k.a marioo anapenda kulelewa na wanawake anapenda kudangia mishangazi na sio kwamba anaitwa marioo huyu msanii kwanza wakati naakaya anapata huyo mtoto huyo marioo msanii alikuwa hata hana umaarufuu