cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tutatorokea huko??[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa wachawi naogopa udugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutatorokea huko??[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa wachawi naogopa udugu
Tutatorokea huko??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii tupuuu.Wewe wizo tyr kwishaaa habareee yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa kaka kunirekebishaaSawa, nakaaya ni wa 1982. Miezi michache ijayo anatimiza miaka 41
Balaa koku nakumbuka emoji yake,ashawahi nichamba Enzi zile mange na sintahUmenikumbusha enzi za u turn na hekaheka za wadada kudate wazungu, dada wa taifa sasa mbwembwe zake na baba Kenzo khaaaaaaa!!
Unamkumbuka koku?!! Yaani nimemiss na zile emoji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Education is sexyy...mange alijua kutukomesha na baba Kenzo wakeUmenikumbusha enzi za u turn na hekaheka za wadada kudate wazungu, dada wa taifa sasa mbwembwe zake na baba Kenzo khaaaaaaa!!
Unamkumbuka koku?!! Yaani nimemiss na zile emoji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umejitahidi Leo umeongeaHamna pumba [emoji1] no news is bad news
MI nampenda sana my Nakie
Kitu kiduchu hadi raha [emoji8]
Hivi wenzetu huwa mnapata wapi muda wa kukaa mbele ya tv screen ?Dah hivi hii story ya huyu Dada wa kuitwa NAKAAYA SUMARI ( Mr Politician Song) ni ya kweli? Au anaongeza na maudambwiudambwi.....
Namcheki hapa muda huu via Zamaradi tv
413
View attachment 2677599
Nyie vijana endeleeni kupiga puli.DP ya wazee Sio vijana
Ni mtu na dada yakeMr politician~ilimpeleka Town huyu mdada.....Naona alipotoka chadema na kuhamia ciciem akapotea kabisa.
Hivi Ana undugu na Nancy Sumari?
Mkubwa weweNakaaya na Nancy nani mkubwaa??
Kemea hii poverty mentality, ndugu zako hawana jukumu la kukutunza, kupewa hisani sio takwa la kisheria.Sasa kisa kuchukuliana bwana ndo amuache ndugu yake? Km huyo Luca si ashamuoa yeye Nancy, kwan kosa LA nakaaya nn? Huyo mumewe malayaa ndo ange deal nae,
Hivi ndugu wanakubali vipi Nancy amtenge Nakaaya na uwezo wa kumtunza anao?? Khaaah
Sio kweli bhana. Nancy ana hela sana yule bi dada. Nimesikia anasema alienda Dar akiwa na 30k tu. Tena akasema...akawa anaweka dila kama pazia la dirisha.
Weee.. Aasubutu!...Nancy hawezi kamwe kumuacha Ndugu yake ateseke vile!
Kumbe Nancy ndo alimuiba Luca?? Sasa anamchukia Nakaaya kwa nn? Ndoa yao ilifanaa balaa, sijui Nakaaya alijisikiajee.
Ila mapenzii khaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Why ?Hawapatanagi
eh [emoji15] eh [emoji15] eh [emoji15] Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!?? [emoji15]Na washaachana
eeh usolii, usolii usise 🙌eh [emoji15] eh [emoji15] eh [emoji15] Sheeiiiilllaaaaa.....omorondo paranqwine!!!?? [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh usolii, usolii usise [emoji119]
wewe utakuwa ulikuja mjini na gari ya mmkaa, alisema mwanaume aliezaa nae ni mwanaume anaependa kitonga a.k.a marioo anapenda kulelewa na wanawake anapenda kudangia mishangazi na sio kwamba anaitwa marioo huyu msanii kwanza wakati naakaya anapata huyo mtoto huyo marioo msanii alikuwa hata hana umaarufuuUlimsikiliza jana kwenye kipindi?