Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Umenikumbusha enzi za u turn na hekaheka za wadada kudate wazungu, dada wa taifa sasa mbwembwe zake na baba Kenzo khaaaaaaa!!

Unamkumbuka koku?!! Yaani nimemiss na zile emoji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Balaa koku nakumbuka emoji yake,ashawahi nichamba Enzi zile mange na sintah
 
Umenikumbusha enzi za u turn na hekaheka za wadada kudate wazungu, dada wa taifa sasa mbwembwe zake na baba Kenzo khaaaaaaa!!

Unamkumbuka koku?!! Yaani nimemiss na zile emoji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Education is sexyy...mange alijua kutukomesha na baba Kenzo wake
Mrs Muzunguuu
 
Sasa kisa kuchukuliana bwana ndo amuache ndugu yake? Km huyo Luca si ashamuoa yeye Nancy, kwan kosa LA nakaaya nn? Huyo mumewe malayaa ndo ange deal nae,

Hivi ndugu wanakubali vipi Nancy amtenge Nakaaya na uwezo wa kumtunza anao?? Khaaah
Kemea hii poverty mentality, ndugu zako hawana jukumu la kukutunza, kupewa hisani sio takwa la kisheria.
 
Ulimsikiliza jana kwenye kipindi?
wewe utakuwa ulikuja mjini na gari ya mmkaa, alisema mwanaume aliezaa nae ni mwanaume anaependa kitonga a.k.a marioo anapenda kulelewa na wanawake anapenda kudangia mishangazi na sio kwamba anaitwa marioo huyu msanii kwanza wakati naakaya anapata huyo mtoto huyo marioo msanii alikuwa hata hana umaarufuu
 
Back
Top Bottom