Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Kwa hiyo nancy kumiliki bongo five, nyota na net sumari tayari ashakua milionea hadi kumsaidia dada yake? Nani kakuambia nakaaya ana maisha mabaya? Aliyumba kidogo sababu ya ajali aliyopata, ilimuweka muda mrefu kitandani.

Mwingine hapo anakuambia Nancy ni mtoto wa pili. Jf kuna uongo mwingi sana
Ulimsikiliza jana kwenye kipindi?
 
Kwa hiyo nancy kumiliki bongo five, nyota na net sumari tayari ashakua milionea hadi kumsaidia dada yake? Nani kakuambia nakaaya ana maisha mabaya? Aliyumba kidogo sababu ya ajali aliyopata, ilimuweka muda mrefu kitandani.

Mwingine hapo anakuambia Nancy ni mtoto wa pili. Jf kuna uongo mwingi sana
Haya umeshindaa uduguu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Relaaaaxxxx!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shika nawee, tatizo unakuja motoo, hebu njoo kwa hatua bhanaa.
[emoji1787][emoji1787] sema sa ivi nini sina kwere nawe. Upo vizuri, umeplay part yako mimi kuwa na cute wife hadi leo.

Nakupa maua yako
 
Mtoto wa nakaaya kai ana miaka 10, amezaa na Sam
Alafu usiniulize sana maswali sipo humu kuweka wazi maisha ya watu naowafahamu
Sam ndio nani tena? Mbona hakumtaja jana kwenye kipindi? Ujue nyie mnatuchanganya....tufuate ya nani sasa....Ya NAKAAYA aliyesema mzazi mwenzake anaitwa MARIOO? Au Yako ...kwamba mzazi mwenzake anaitwa SAM? Aaah sio kweli bhana!!!
 
Dah hivi hii story ya huyu Dada wa kuitwa NAKAAYA SUMARI ( Mr Politician Song) ni ya kweli? Au anaongeza na maudambwiudambwi.....

Namcheki hapa muda huu via Zamaradi tv
413

View attachment 2677599
kwa lugha nyepesi ni kwamba, kuwa single mother, ukiondoa wale waliokuwa kwenye ndoa yakatokea matatizo, hawa wenye midomo ya wiziwizi, maana yake alizini bila condom na mtu asiye mme wake. ni pepo na ujinga mkubwa sana kwa wanawake siku hizi kutegesha mimba kwa mwanaume wanayemtaka ili apatiepo kipato kwa lugha ya child support. foolish kabisa.
 
Sam ndio nani tena? Mbona hakumtaja jana kwenye kipindi? Ujue nyie mnatuchanganya....tufuate ya nani sasa....Ya NAKAAYA aliyesema mzazi mwenzake anaitwa MARIOO? Au Yako ...kwamba mzazi mwenzake anaitwa SAM? Aaah sio kweli bhana!!!
Usiwe mbishi, Tena Kuna kipindi Huku chuga alikuwa anatengeneza samani za chuma

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom