MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #141
Ulimsikiliza jana kwenye kipindi?Kwa hiyo nancy kumiliki bongo five, nyota na net sumari tayari ashakua milionea hadi kumsaidia dada yake? Nani kakuambia nakaaya ana maisha mabaya? Aliyumba kidogo sababu ya ajali aliyopata, ilimuweka muda mrefu kitandani.
Mwingine hapo anakuambia Nancy ni mtoto wa pili. Jf kuna uongo mwingi sana