Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Brother hawaelewani wale wawili km chuo na paka ,walichukuliana bwana(ambae kamuoa Nancy Luca yule)
Wameelewana miàka km 7 au sita hivi...Nancy kwao Kwa kua ndo ana Hela baasi the whole familia wanampenda sana , Nakaaya ni kama alitengwa flani hivi na familia yake,asemayo naweza kubali maana Kuna kipindi alipitia magumu sanaaa huyu dada
Nancy ana karohi flani hivi kauchoyo
Aliwezana vipi na MARIOO kama ni mchoyo? Hiyo haijaenda bro?!
 
Brother hawaelewani wale wawili km chuo na paka ,walichukuliana bwana(ambae kamuoa Nancy Luca yule)
Wameelewana miàka km 7 au sita hivi...Nancy kwao Kwa kua ndo ana Hela baasi the whole familia wanampenda sana , Nakaaya ni kama alitengwa flani hivi na familia yake,asemayo naweza kubali maana Kuna kipindi alipitia magumu sanaaa huyu dada
Nancy ana karohi flani hivi kauchoyo
Sasa kisa kuchukuliana bwana ndo amuache ndugu yake? Km huyo Luca si ashamuoa yeye Nancy, kwan kosa LA nakaaya nn? Huyo mumewe malayaa ndo ange deal nae,

Hivi ndugu wanakubali vipi Nancy amtenge Nakaaya na uwezo wa kumtunza anao?? Khaaah
 
African families si watjuaaa...Mtu kitu!!!
Mange aliwahi andika stori yote enzi za u turn blog.. she was living hell life Nakaaya na anajishusha Sana Kwa mdogo wake ila ndo hvyo Tena ndugu zetu tunawajua ..
Luca aliacha mke wa church kabisa akaoa Tena Nancy na ana watoto wakubwa tu na mkewe wa Kwanza
Nakaaya alimuachia mdogo mtu bwana mpk kaolewa ila dada mtu sijui ana shida gani
 
Kumbe Nancy ndo alimuiba Luca?? Sasa anamchukia Nakaaya kwa nn? Ndoa yao ilifanaa balaa, sijui Nakaaya alijisikiajee.

Ila mapenzii khaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It was simple marriage and classic nilipenda Sana
Mwizi ni Nancy kamuibia dada Mtu bwana
Kaolewa ila si unamjua timu kujishtukia
 
Back
Top Bottom