Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Sio kweli bhana. Nancy ana hela sana yule bi dada. Nimesikia anasema alienda Dar akiwa na 30k tu. Tena akasema...akawa anaweka dila kama pazia la dirisha.

Weee.. Aasubutu!...Nancy hawezi kamwe kumuacha Ndugu yake ateseke vile!
Brother hawaelewani wale wawili km chuo na paka ,walichukuliana bwana(ambae kamuoa Nancy Luca yule)
Wameelewana miàka km 7 au sita hivi...Nancy kwao Kwa kua ndo ana Hela baasi the whole familia wanampenda sana , Nakaaya ni kama alitengwa flani hivi na familia yake,asemayo naweza kubali maana Kuna kipindi alipitia magumu sanaaa huyu dada
Nancy ana karohi flani hivi kauchoyo
 
Back
Top Bottom