Naangalia mpira hapa Alahly vs es setif. Hizi timu za hapa Tanzania zina safari ndefu sana ya kufikia hizi level za wenzetu CAF Champion League

Naangalia mpira hapa Alahly vs es setif. Hizi timu za hapa Tanzania zina safari ndefu sana ya kufikia hizi level za wenzetu CAF Champion League

Soka linahitaji uwekezaji,siyo ukanjanja wa Mo was kununua wachezaji wa mafungu..
 
Ulitaka iwe mara ngapi Yanga mwenyewe kasha mfunga Al Ahy hapo kwa Mkapa lakini haimaanishi wapo level moja kama wanamsajiri Luis Miqssone kwa 1B na ana kaa bench hivi hauwezi pata picha hao sio wenzetu?
Simba kamfunga Ahly mara tatu.
 
Simba kamfunga Ahly mara tatu.
Al Ahly away ni wa kawaida tu na wao wanajijua hilo na ndio maana wanapoenda away, lengo lao kubwa ni sare tu ikitokea wameshinda wanashuru. Tunaishia kujisifia kumfunga Al Ahly halafu huyo unayemfunga ndio anayechukua kombe. Mamelofi sundows kampiga kote kote Al Ahly lakini wako wapi?
 
Huwezi amini kama ndiyo wale waliokuwa wanasua sua kwenye group stage
Hao jamaa wanaanzaga ivyo ivyo ila uko mbele wanabadilikaga hatari.Mahesabu yao ni hatari kadri wanavyovuka hatua fulani wanazidi kubadilika.
 
Ynaga ndiyo team inayoogopeka afrika nzima kutoka Tanzania, inaongoza kwa ubora katika ranks za CAf kwa afrika mashariki, inafanya usajili bora usio wa kimagumashi , inaendeshwa kwa weledi rekodi zake ziko wazi, kwenye makundi huwa inakusanya points za kutosha haina majungu na haipuliziii sumu kwa wapinzani wala uchawi, ni team bora sana
Ulitaka iwe mara ngapi Yanga mwenyewe kasha mfunga Al Ahy hapo kwa Mkapa lakini haimaanishi wapo level moja kama wanamsajiri Luis Miqssone kwa 1B na ana kaa bench hivi hauwezi pata picha hao sio wenzetu?
 
On target moja dkk 90
Ukitua misri au south africa au popote farika leo ukauliza simba hakuan anayeijua ila ukiuliza yanga sc wanatetemaka kwa uoga kutokana na ubora wake,acha ubishi hata |CAf wanalijua na mwaka huu washawasiliana na uongozi wa team hiyo kwamba wataanzia round ya awali ndiyo manaa wakamruhusu msemaji wao atangaze hadharani
 
Wote hao washawahi zabwa na Simba kwa Nyakati tofauti....
Es setif kwa nyakati zake alikufa 2 taifa....
Ahly kwa nyakati zake amekufa taifa.
Nataka kusema nini, Kila mechi na mbinu zake kulingana na Opponent na hatua ya mashindano husika.
Ni kweli hatujafika huko ( sisi Simba , Yanga sijui) lakini tunaelekea na Tutafika...
Mpira unaenda sambamba na Uchumi wa nchi husika. Kuzilaumu Simba na Yanga ni Upumbavu.
Kama wachezaji kulipwa million saba Mpaka kumi anakuwa anamshahara mkubwa kuliko zaidi ya asilimia 80 ya waajiriwa Nchini....
Vipi tunaweza kuwalipa hao wa million 100?
NIONESHE NCHI MSKINI AMBAYO VILABU VYAKE VINAPERFORM
Mkuu mpira ni strategy, Al Ahly wanacheza mipra wa malengo zaidi, embu fikiria Simba iliongoza kundi na waliifunga Al Ahly kwa Mkapa lakini ubingwa akachukua hao hao Al Ahly. Msimu huu kapigiwa ndani njena Mamelod halafu kashindwa kumfunga Al Hilal kwao kila mmoja alianza kudhani Al Ahly wamejichokea lakini ndio hao hao wanaocheza fainali. Mamelod ambao walimfunga Al Ahly nje ndani kaishia njiani katolewa.

Ulisema fulani tulimfunga sijui ngapi, hakuna kombe la kumfunga timu kubwa bali ni kucheza fainali na kushinda
Isome mada kwa makini, afu chuja mleta mada alikusudia nini na kwanini hicho alichojibiwa kilikuwa ndio jibu sahihi....
 
Ha ha ungejua wanachofanya simba kushinda usingongea
NASHANGAAA mkuu nashangaa hawajui wape habari hao, wanaloga wanapulizia sumu wanaweka sumu mahotelini kwenye vyakula vya wapinzani, za ndanindani ni kwamba CAf wanaenda kuipiga ban kabisa baada ya kugundua yote hayo..team lenyewe boovu wachezaji wa kawaida tajiri wamagumashi mwenye makandomakando anayeshindwa kujifunza jinsi ya kuwa tajiri asiye na doa kama Gsm

Wengi wanadhanaia kwamba simba ilianza figisufigisu afrika miaka ya karibuni mwaka 1974 walifika nusus fainali ya klabu bingwa afrika wakatolewa namehala al kubra ya misri...1993 walifika fainali y akombe la CAf...94 walifika robo fainali...2003 walifika makundi....ukijua mbinu chafu walizofanya miaka hiyo utalia mwenyewe

Team ya kistaarabu na inayojua mpira ikiendeshwa kiuweledi afrika mashariki ni yanga sc tu, Caf siyo wajinga kuwapa privillege ya kuanzia round ya kwanza mwaka huu
 
😅😅😅Jiwe gizani!
 
Ynaga ndiyo team inayoogopeka afrika nzima kutoka Tanzania, inaongoza kwa ubora katika ranks za CAf kwa afrika mashariki, inafanya usajili bora usio wa kimagumashi , inaendeshwa kwa weledi rekodi zake ziko wazi, kwenye makundi huwa inakusanya points za kutosha haina majungu na haipuliziii sumu kwa wapinzani wala uchawi, ni team bora sana
Dogo kwa uzuri tu naomba usiwe unani quote sina vinasaba na wapumbavu please
 
Sema Utopolo ndo wana safari ndefu maana hata makundi hawafiki.
 
Back
Top Bottom