Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Leo naangalia huko nchini Nepal mpaka wananchi kuingia mtaani kuchoma bunge na zile tabia za Nepal ndio zinafanana na nchi yetu.
Sasa jana kuna mwanachama wa CCM kafikia hatua ya kutuwekea vitisho kuwa tusipoipigia kura tusitumie SGR, BARARABARA N.K ambavyo anadai ni vya Rais Samia, tokea nchi kuanza alivyosema Profesa Kabudi kuwa maendeleo yote yametoka kwa Samia.
Hizi chuki mnazoweka halafu na matendo mnayoweka kumbukeni vijana mnawapeleka JKT wajifunze ujasiri kuna siku mtakipata.
Admin wa JF.
huu Uzi usitake kubadilisha ila umetengeza kuogopesha wa TZ na niliweka JKT ukabadilisha japo umefungiwa na tuna tumia VPN alafu unataka kupindisha ukweli kuwa wanayofanya tanzania ndio nepal yanakuja hapa.