Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Tunisia ilileta mabadiliko chanya.Hakuna nchi hata moja ambapo movement ya Arab spring imekuwa successful labda kama umeamua kujipa matumaini hewa.
Kama mnafanya revolution halafu baada ya revolution hali inakuwa worse from bad, ipi tija ya hiyo revolution ?
Na mkuu, maandamano ya namna huratibiwa kwa kiwango kidogo zaidi zaidi huendeshwa na hisia za watu tu.
Maandamano bila uongozi mara nyingi huishia machafukoni na ndicho kilichotokeq Arab spring na kinachoenda kutokea huko Nepal.
Hivyo kwa Tz bado wananchi wapo kwenye comfort zone, sio rahisi hilo kutokea labda ccm wajisahau sana.