Our quality of life is way to high, everyone is too comfortable and they don’t want to throw it away for a revolutionkama imefikia viongozi wakikata moto , citizen wanafanya sherehe!!, Basi tuendako ni kuzuri zaidi
haha hayati mwalimu ndio shahidi mzuri, sema ndio hatunaeOur quality of life is way to high, everyone is too comfortable and they don’t want to throw it away for a revolution
haha hayati mwalimu ndio shahidi mzuri, sema ndio hatunaeOur quality of life is way to high, everyone is too comfortable and they don’t want to throw it away for a revolution
Kabisa, ila tunakoelekea watawala watajisahau tu.Our quality of life is way to high, everyone is too comfortable and they don’t want to throw it away for a revolution
Nimeangalia tamasha la Simba yule msanii aliyekuja na ubunifu wa mazombi.. Nikaogopa sana.. Naona Kama kuna kitu Kama kile kinaweza kutokea kwa ukubwa na kwa uhalisia tofauti ya yale maigizoLeo naangalia huko nchini Nepal mpaka wananchi kuingia mtaani kuchoma bunge na zile tabia za Nepal ndio zinafanana na nchi yetu.
Sasa jana kuna mwanachama wa CCM kafikia hatua ya kutuwekea vitisho kuwa tusipoipigia kura tusitumie SGR, BARARABARA N.K ambavyo anadai ni vya Rais Samia, tokea nchi kuanza alivyosema Profesa Kabudi kuwa maendeleo yote yametoka kwa Samia.
Hizi chuki mnazoweka halafu na matendo mnayoweka kumbukeni vijana mnawapeleka JKT wajifunze ujasiri kuna siku mtakipata.
Kwa Afrika hakuna nchi ambayo raia bila jeshi wameweza kufanya hilo, ikitokea bongo basi itakuwa imeweka Benchmark kwa mataifa mengine.Kabisa, ila tunakoelekea watawala watajisahau tu.
Ndivyo inavyokuaga ukijaza vilaza na chawa madarakani.
haha hayati mwalimu ndio shahidi mzuri, sema ndio hatunae
Nilikua na askari polisi mmoja, duh jamaa alikua anaongea hovyo sana kuhusu IGP wakeKwa tz bado sana mjuba, labda kina traore wa kitz wafanye yao!
Afrika ipi mkuu??Kwa Afrika hakuna nchi ambayo raia bila jeshi wameweza kufanya hilo, ikitokea bongo basi itakuwa imeweka Benchmark kwa mataifa mengine.
Nitolee mfano wa nchi moja tuuu ambapo wananchi walifanikiwa bila jeshi na hadi sasa ipo stableAfrika ipi mkuu??
Mbona zipo nchi yaliyotokea hayo.
Mbona unazidisha vigezo jombi?? Maandamano yameratibiwa na jeshi au wananchi??Nitolee mfano wa nchi moja tuuu ambapo wananchi walifanikiwa bila jeshi na hadi sasa ipo stable
Hakuna nchi hata moja ambapo movement ya Arab spring imekuwa successful labda kama umeamua kujipa matumaini hewa.Mbona unazidisha vigezo jombi?? Maandamano yameratibiwa na jeshi au wananchi??
Jeshi linaingilia kati kutuliza ghasia, kupunguza maafa zaidi.
Maua wanapewa wananchi..
Ref Arab spring, Libya kwa Gadafi etc..
Huko kua stable ni suala jingine hilo ambalo hukuuliza mwanzo ila umeliongeza ili ujibiwe utakvyo.
Unaijua Misri mkuu?Nitolee mfano wa nchi moja tuuu ambapo wananchi walifanikiwa bila jeshi na hadi sasa ipo stable