Naangalia yanayoendelea Nepal, yasije kutokea nchini. Viongozi ongozeni kwa busara

Hakuna nchi hata moja ambapo movement ya Arab spring imekuwa successful labda kama umeamua kujipa matumaini hewa.

Kama mnafanya revolution halafu baada ya revolution hali inakuwa worse from bad, ipi tija ya hiyo revolution ?
Tunisia ilileta mabadiliko chanya.

Na mkuu, maandamano ya namna huratibiwa kwa kiwango kidogo zaidi zaidi huendeshwa na hisia za watu tu.

Maandamano bila uongozi mara nyingi huishia machafukoni na ndicho kilichotokeq Arab spring na kinachoenda kutokea huko Nepal.

Hivyo kwa Tz bado wananchi wapo kwenye comfort zone, sio rahisi hilo kutokea labda ccm wajisahau sana.
 
Mkuu, unafuatilia kweli siasa za Tunisia ? Walimtimua Ben Ali ila baada ya yeye kutimuliwa wamekuja tena viongozi wahuni wahuni na mafisadi.
 
Mkuu, unafuatilia kweli siasa za Tunisia ? Walimtimua Ben Ali ila baada ya yeye kutimuliwa wamekuja tena viongozi wahuni wahuni na mafisadi.
Ina uafadhari kuliko nchi nyingi zilizopitia madabiliko ya namna hiyo..
 
Kwa mantik hiyo, ungekuwa kiongozi, ungetumia mbinu ipi kwa muktadha wa Tanzania kuwatoa hapo walipo ?
Tanzania bado haijawa na hali mbaya kama hizo nchi zilizoingia kwenye machafuko.
Kwasasa siwezi hangaika na hilo mkuu.

Ni kujilisha upepo kutaka Tz watu waandamane sijui kufanya namna gani vipi uongozi uachie ngazi.
 
Lissu aliposema anakinukisha niliona watu wanashangilia, utafikiri wanamaanisha.
 
Aisee.

Wamejilimikisha nchi, CCM ikiingia madarakani tena, nchi itadidimia zaidi.
 
Gen z wa Nepal wamewapa kipigo viongozi wakuu wa nchi hiyo na kutekeza Mali zao Kwa moto

Baadhi ya viongozi hao wamekimbia nchi na wengine wakiwa wamejisalimisha Kwa jeshi la nchi hiyo kuokoa maisha Yao na familia zao

Hapa ndo kusema serikali imeogopa Gen z wa TANZANIA?

Hìi inayoongozwa na huyu Mwanajeshi kipenzi cha wamarekani au
Sina uhakika ila b4 raia walitoka msikitin na kwenda kumng'oa Hosain Mubarack kama sikosei...ebu angalia uchumi wao wa sasa ndo utaelewa sometmes mapnduz yanaleta maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…