Naanza kampeni ya kupambana na wahenga wa JF

Ungejifundisha kuandika kwanza,hao wahenga wala hawawezi kukuelewa na muandiko wako wakike kike.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xana. .....xaxa. ..kexho

Nkiona mtu anatumia hizo xxxx naanza kumtilia Shaka mtumiaji na bahat mbaya akiwa wa kiume
 
Muite tuyu simuogopi kabisa ananikeraga sana huyuuu simupendi kabisa
Mkuu, samahani lakini, mbona mi post zangu hujibu?[emoji15] [emoji15]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…