Usisahau kuwa Kalasinga ana uraia pacha...Ushahidi wa mazingira unaanza kuwanyooshea vidole!
Hahahaha, ila yule singasinga bwana, yaani amekula na Uzi kabisa wa CCM kuonesha naye ni kada mtiifu.......nchi Ina safari ndefu sana hii.
Unganisha na dots za Mzee wa Mbiombio,utaelewa zaidiUshahidi wa mazingira unaanza kuwanyooshea vidole!
Aki mbiombio si ndiyo hayo madai yalikoanzia,hathibitishi bali maneno yao nyuma ya fake id wameamua kuyazungumza hadharaniBado kuthibitishwa tu. Ila ukweli huenda ukawa ndiyo huo. Kama Mbio mbio aliyekuwa jikoni alijaribu mpaka kumtahadharisha mpishi mkuu! Sisi ni nani mpaka tupinge?
Hakuna dots zozote,walikufa kwa korona watz wengi tu wenye shida kubwa,hiv,moyo, sukari,sarataniUnganisha na dots za Mzee wa Mbiombio,utaelewa zaidi
Yani polepole mpuuzi mmoja eti anaaminiwa anachosema. Jiwe alikufa kifo cha kawaida tuAki mbiombio si ndiyo hayo madai yalikoanzia,hathibitishi bali maneno yao nyuma ya fake id wameamua kuyazungumza hadharani
Aliidindia korona,hata masharti ya ugonjwa wake hakuzingatia,kuna mwaka alipiga ruti ndefu iliyoishia mtwara/lindi,watu wakawa na shaka itakuaje afya yake,akapotea hadharani,minong'ono ikaanza,alipoibuka, obviously kuondoa taharuki, alikua na dalili dhaahiri za kuumwaYani polepole mpuuzi mmoja eti anaaminiwa anachosema. Jiwe alikufa kifo cha kawaida tu
Ipo siku kuna mtu au watu watakuja kumwaga ushahidi mchana kweupee.Pasina shaka.
Ipo siku kutakuwa na ushahidi wa wazi
Hamna bwana alikufa na korona 😄😄😄Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
![]()
‘Fixed’?
I’m not big on conspiracy theories. But in the absence of veracious information, what’s one to do? Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep? Nah! Not for a thinking man. I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as...www.jamiiforums.com
Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.
Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada ya hiyo iliyoitwa ‘harambee’ ya michango ya pesa za kampeni za CCM.
Wale wanaohisiwa au kudhaniwa kuwa ndo mafisadi wamerudishwa tena kwenye kundi na sasa wapo ndani kabisa katikati ya CCM na serikali yao.
Hawa watu enzi za Magufuli, kwa kiasi kikubwa walitengwa.
Hatukuwaona wakiwa wanajiachia kwa tabasamu na bashasha tele kama ilivyo hivi sasa.
Mazingira kama haya ndo yanazidi kuupa ushahidi ule wasiwasi wangu kwamba huenda kweli Rais Magufuli mauti yake yaliharakishwa na baadhi ya watu.
Ni wapi katika Afrika mambo kama hayo yaliwahi kuwekwa hadharani ili nasi hapa tuwe tumefuatia ??!! 😳Uzuri bana haya mambo yatakuwa kimya kwa muda tu sio siku zote, Kuna wakati itafika yatakuwa hadharani kabisa na vyombo vitaeleza
Siyo moyo?Hamna bwana alikufa na korona 😄😄😄
Ni korona bwana si mnakumbuka alivyokuwa anaikejeli😜Press za pole2 neo zomenifanya niamininkuwa magu aliwawa
Wabongo huwa ni wagumu sana kukubali mtu kafa kwasababu watu huwa wanakufa........ Wabongo tunaamini mtu akifa ni "LAZIMA KUNA MKONO WA MTU"Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
![]()
‘Fixed’?
I’m not big on conspiracy theories. But in the absence of veracious information, what’s one to do? Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep? Nah! Not for a thinking man. I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as...www.jamiiforums.com
Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.
Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada ya hiyo iliyoitwa ‘harambee’ ya michango ya pesa za kampeni za CCM.
Wale wanaohisiwa au kudhaniwa kuwa ndo mafisadi wamerudishwa tena kwenye kundi na sasa wapo ndani kabisa katikati ya CCM na serikali yao.
Hawa watu enzi za Magufuli, kwa kiasi kikubwa walitengwa.
Hatukuwaona wakiwa wanajiachia kwa tabasamu na bashasha tele kama ilivyo hivi sasa.
Mazingira kama haya ndo yanazidi kuupa ushahidi ule wasiwasi wangu kwamba huenda kweli Rais Magufuli mauti yake yaliharakishwa na baadhi ya watu.
Moyo ulirahisisha tu kazi ila chanzo kikuu ni korona 🥱Siyo moyo?
Hapana sio lorona ,htbisingeku a press ya pole 2 ,sijawahi amini km ni covidNi korona bwana si mnakumbuka alivyokuwa anaikejeli😜
NoMoyo ulirahisisha tu kazi ila chanzo kikuu ni korona 🥱
Mbona wameshaanza kwa mfano job ndugai,ila 2020,na 2021 walifululiza sana watu...wote ikidaiwa ni korona na wengi ni team magufuli 😁😁kwa mfano yule mmiliki wa shule za st Mary's siamini kama alipata koronaNo
Sio covid mnaisingizia
Subiri na sshv watakavyoondoka baadhi sijui watasema moyo 🤷
Chukia huo umaskini wako siyo watuBaada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.