wote walioenda woote tangia 2021 had one thing in common, walikuwa ni Christians, btw hata kachero mbobezi alikuwa Christian pia, fikiria for a minute kama kachero mbobezi angekuwepo leo hii hali ingekuwaje kwani siajabu alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye down fall ya Magu klk yoyote yule hivyo leo hii angekuwepo ina maana angependa pia kuwa rewarded na kula keki ya ushindi hivyo pasingetosha kwa hiyo power struggle, arghhh its just too complicated lkn ilikuwa ni lzm (kachero) aende, Ndugai ameondoka alipotaka kurudi bungeni, Majaliwa alijiuzulu kwa mbinde, P.Mpango (PhD) pia ...
war on Christianity is real ...