Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

Mbona wameshaanza kwa mfano job ndugai,ila 2020,na 2021 walifululiza sana watu...wote ikidaiwa ni korona na wengi ni team magufuli 😁😁kwa mfano yule mmiliki wa shule za st Mary's siamini kama alipata korona
Yes naelewa wameanza.kuna vigogo 4 tutashisha chini then watafuata wadogo wadogo

Wengi wao haikuwa covid muda unavyoenda mtaelewa kuwa ni mchezo
 
Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.

Uzi wenyewe ni huu hapa:

Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.

Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada ya hiyo iliyoitwa ‘harambee’ ya michango ya pesa za kampeni za CCM.

Wale wanaohisiwa au kudhaniwa kuwa ndo mafisadi wamerudishwa tena kwenye kundi na sasa wapo ndani kabisa katikati ya CCM na serikali yao.

Hawa watu enzi za Magufuli, kwa kiasi kikubwa walitengwa.

Hatukuwaona wakiwa wanajiachia kwa tabasamu na bashasha tele kama ilivyo hivi sasa.

Mazingira kama haya ndo yanazidi kuupa ushahidi ule wasiwasi wangu kwamba huenda kweli Rais Magufuli mauti yake yaliharakishwa na baadhi ya watu.
Chalamila japo ni Mlevi ila sentensi yake aliyoiongea hadi akatumbuliwa isipuuzwe.
 
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'a...jpg
 
Aliidindia korona,hata masharti ya ugonjwa wake hakuzingatia,kuna mwaka alipiga ruti ndefu iliyoishia mtwara/lindi,watu wakawa na shaka itakuaje afya yake,akapotea hadharani,minong'ono ikaanza,alipoibuka, obviously kuondoa taharuki, alikua na dalili dhaahiri za kuumwa
acha porojo

ile lindi alipigwa juju moshi ukafuka kwenye gari

stori za korona na afya yake ni kuhalalisha hujuma zenu
 
Watanzania wako milioni 61 mliochanjwa hamzidi milioni 6, je hao 55 wamekufa kutokana na korona ambayo unakomaa kwamba JPM alikuwa na uamuzi wa kijinga?

Kariabia wote mliochanjwa kwa sasa mnaumwa na mnakufa polepole kwa magonjwa ambayo msingestahiki kuyapata.
Hawana akili ni watu wa kulazimisha tu mambo, wakati huyo Magufuli anaendelea na mambo yake bila kuvaa barakoa walikuwa wanasema et kachanja kisirisiri chanjo ya wachina halafu et anawapotosha wananchi wake kwa kuwataka wasivae barakoa wala kuchanja.

Sasa ajabu alivyokufa wao tena wanasema kafa kwa corona kwa sababu hakuchanja wala kufuata taratibu za kujikinga na corona.
 
acha porojo

ile lindi alipigwa juju moshi ukafuka kwenye gari

stori za korona na afya yake ni kuhalalisha hujuma zenu
Mahiga,kijazi na circle yake waliotangulia kabla yake nao ilikua hujuma!?..mpango aliumwa,alipopona alimshukuru sana Mungu,naye ilikua hujuma?.. acheni kujilisha upepo, marehemu mwenyewe alisema wanae waliugua,hawakumletea?
 
Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.

Uzi wenyewe ni huu hapa:

Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.

Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada ya hiyo iliyoitwa ‘harambee’ ya michango ya pesa za kampeni za CCM.

Wale wanaohisiwa au kudhaniwa kuwa ndo mafisadi wamerudishwa tena kwenye kundi na sasa wapo ndani kabisa katikati ya CCM na serikali yao.

Hawa watu enzi za Magufuli, kwa kiasi kikubwa walitengwa.

Hatukuwaona wakiwa wanajiachia kwa tabasamu na bashasha tele kama ilivyo hivi sasa.

Mazingira kama haya ndo yanazidi kuupa ushahidi ule wasiwasi wangu kwamba huenda kweli Rais Magufuli mauti yake yaliharakishwa na baadhi ya watu.
uzi wa GSM kupewa bandari kavu ya Isaka nilishangaa umefutwa nikajua hata jamiiforum ipo mikononi mwa wanamtandao
 
wote walioenda woote tangia 2021 had one thing in common, walikuwa ni Christians, btw hata kachero mbobezi alikuwa Christian pia, fikiria for a minute kama kachero mbobezi angekuwepo leo hii hali ingekuwaje kwani siajabu alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye down fall ya Magu klk yoyote yule hivyo leo hii angkuwepo ina maana angependa pia kuwa rewarded na kula keki ya ushindi hivyo pasingetosha, arghhh its just too complicated lkn ilikuwa ni lzm (kachero) aende, Ndugai ameondoka alipotaka kurudi bungeni, Majaliwa alijiuzulu kwa mbinde, P.Mpango (PhD) pia ...

war on Christianity is real ...
Kikwete ana Mapungufu yake lakini yule sio mdini hata kwenye ajira zake tuliona mawaziri wengi walikua wakristo na alipenda sana wahaya na wachanga JK pia amesoma seminary Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni sema anajua kuishi na watu vizuri kwa akili unajikuta uko loyal kwake JK tatizo la huyu Maadili ya Utumishi wa Umma alipiga chini😂😂
 
Wewe kichwa pumbu, si utoke uingie rodini sio unalialia humu
Fuvu imejaa utyoko hio, huku unaongea kiogauoga....
 
Kikwete ana Mapungufu yake lakini yule sio mdini hata kwenye ajira zake tuliona mawaziri wengi walikua wakristo na alipenda sana wahaya na wachanga JK pia amesoma seminary Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni sema anajua kuishi na watu vizuri kwa akili unajikuta uko loyal kwake JK tatizo la huyu Maadili ya Utumishi wa Umma alipiga chini😂😂

raisi kikwete anaongiaje hapo ? ...
 
Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.

Uzi wenyewe ni huu hapa:

Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.

Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada ya hiyo iliyoitwa ‘harambee’ ya michango ya pesa za kampeni za CCM.

Wale wanaohisiwa au kudhaniwa kuwa ndo mafisadi wamerudishwa tena kwenye kundi na sasa wapo ndani kabisa katikati ya CCM na serikali yao.

Hawa watu enzi za Magufuli, kwa kiasi kikubwa walitengwa.

Hatukuwaona wakiwa wanajiachia kwa tabasamu na bashasha tele kama ilivyo hivi sasa.

Mazingira kama haya ndo yanazidi kuupa ushahidi ule wasiwasi wangu kwamba huenda kweli Rais Magufuli mauti yake yaliharakishwa na baadhi ya watu.
Ila ni wewe ngabu ulisema kwamba ni mshamba Corona imemuua
Kama sijakosea
 
Back
Top Bottom