Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

Majizi ya ccm.yanafaa kunyongwa hadharani
 
Aki mbiombio si ndiyo hayo madai yalikoanzia,hathibitishi bali maneno yao nyuma ya fake id wameamua kuyazungumza hadharani
Yani polepole mpuuzi mmoja eti anaaminiwa anachosema. Jiwe alikufa kifo cha kawaida tu
 
Yani polepole mpuuzi mmoja eti anaaminiwa anachosema. Jiwe alikufa kifo cha kawaida tu
Aliidindia korona,hata masharti ya ugonjwa wake hakuzingatia,kuna mwaka alipiga ruti ndefu iliyoishia mtwara/lindi,watu wakawa na shaka itakuaje afya yake,akapotea hadharani,minong'ono ikaanza,alipoibuka, obviously kuondoa taharuki, alikua na dalili dhaahiri za kuumwa
 
Hamna bwana alikufa na korona 😄😄😄
 
Wabongo huwa ni wagumu sana kukubali mtu kafa kwasababu watu huwa wanakufa........ Wabongo tunaamini mtu akifa ni "LAZIMA KUNA MKONO WA MTU"

Zitatafutwa sababu za kuunga unga wee ilimradi tupate sababu tunazozitaka
 
Kiumbe chenye miguu miwili ndiye adui yetu na mwenye miguu minne ndio rafiki yetu japo viumbe wengine wanaweza kuwa marafiki wa wanyama wengi wakapendwa na kukimbiliwa na wanyama wengine wakadhani ni upendo au wana nafasi ya kuumba kumbe ni wanashirikiana waharibifu akina Kobra
 
No
Sio covid mnaisingizia
Subiri na sshv watakavyoondoka baadhi sijui watasema moyo 🤷
Mbona wameshaanza kwa mfano job ndugai,ila 2020,na 2021 walifululiza sana watu...wote ikidaiwa ni korona na wengi ni team magufuli 😁😁kwa mfano yule mmiliki wa shule za st Mary's siamini kama alipata korona
 
Chukia huo umaskini wako siyo watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…