nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Anayefuatia kufa ni wewe. Ngedere pori weMbona wameshaanza kwa mfano job ndugai,ila 2020,na 2021 walifululiza sana watu...wote ikidaiwa ni korona na wengi ni team magufuli 😁😁kwa mfano yule mmiliki wa shule za st Mary's siamini kama alipata korona
Sisi wote ni marehemu watarajiwa bwana Nicholas😁😁Anayefuatia kufa ni wewe. Ngedere pori we
buku7 ileile au saizi imepandaHakuna dots zozote,walikufa kwa korona watz wengi tu wenye shida kubwa,hiv,moyo, sukari,saratani
Kila kitu kinakuwa wazi....Press za pole2 neo zomenifanya niamininkuwa magu aliwawa
Kuna uzi ambaoBaada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
‘Fixed’?
I’m not big on conspiracy theories. But in the absence of veracious information, what’s one to do? Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep? Nah! Not for a thinking man. I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as...www.jamiiforums.com
Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.
Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada ya hiyo iliyoitwa ‘harambee’ ya michango ya pesa za kampeni za CCM.
Wale wanaohisiwa au kudhaniwa kuwa ndo mafisadi wamerudishwa tena kwenye kundi na sasa wapo ndani kabisa katikati ya CCM na serikali yao.
Hawa watu enzi za Magufuli, kwa kiasi kikubwa walitengwa.
Hatukuwaona wakiwa wanajiachia kwa tabasamu na bashasha tele kama ilivyo hivi sasa.
Mazingira kama haya ndo yanazidi kuupa ushahidi ule wasiwasi wangu kwamba huenda kweli Rais Magufuli mauti yake yaliharakishwa na baadhi ya watu.
Hakunaga siri ya watu wengi. Siri huwa ni ya mtu mmoja tu.Kuna uzi ambao uliwekwa namna alivyo lishwa polonium na wale wote around him. Sijui walifuta. Ila hata miaka 100 ipite kifo cha Magufuli, Mkapa, et al kitakuja kuchunguzwa lengo likiwa kuimarisha usalama wa Rais. Rasi hatakiwi kufa kizembe hivyo hapana.
Halafu ni mkazi wa Kericho na raia wa Kenya lakin ni mwanachamaa wa CCM kisirisiriHahahaha, ila yule singasinga bwana, yaani amekula na Uzi kabisa wa CCM kuonesha naye ni kada mtiifu.......nchi Ina safari ndefu sana hii.
Leo kasemaje , MtumishiPress za pole2 neo zomenifanya niamininkuwa magu aliwawa
Ila muziki wa Kibiti ulianza kabla JPM hajaingia ikulu na ukaendelea kupamba Moto kisha akauzima kimya mileleJiwe alikuwa ana move kama mtu anayetaka kuongoza zaidi ya miaka 10, ingawa yeye mwenye alikuwa anasema hatoongeza hapo. Hapa ndiyo Mbogamboga A na B wakawa wanapaluana
Inawezekana walimwaisha pia. Hivi jamaa ni kweli alikuwa na pacemaker?
Ujue hivi vitu viko deep sana, unaweza kuta hata wale jamaa wa KIBITI walikuwa funded na wazee wa jiji kutingisha uongozi tu kwa kuwa harakati zao haziendi.
Mjini mambo mengi sana, sasa kama una wenzetu wanauza silaha kwa cartel kama Jalisco/CJNG unadhani nini kinashindikana hapa???
Mjini mambo mengi mkuu.
Kwani unanijua mimi ni nani weweDeep inside state.Leo neno unanijua mimi limekuja kwa kasi
Halafu ni mkazi wa Kericho na raia wa Kenya lakin ni mwanachamaa wa CCM kisirisiri
Hilo jina lako linanikumbusha mtu mmoja alikuwa anaitwa Boaz Mpazi.Mimi nilistuka msibani maana kama watu walikua wanajistukia mara anaejua kilichomua Magufuli alete Ushaidi police kuna rudi Kwenye hotuba za Viongozi siku ile ya msiba chato labda waichomoe You tube but pitia kuna mkanganyiko pale kwenye Otuba za Viongozi
Poleni sana, kule kwetu kijijini pande tunasema "wasiwasi ni uwendawazimu". Ni wajinga tu na wapumbavu ndio wanakesha na kufikiria na kuhisi Kila anapokufa au kuumwa wa upande wao basi Kuna mkono wa mtu.Mi namini hilo pia, na sio tu waliharakisha mauti yake, walihakikusha wanamsindikiza mpaka alipoingia uko kuzimu.
Na wakarudi kwa kujipongeza, na kututengenezea drama tulizoziona.
Niliona jibsi Janabi alivyokuwa akinadiwa na JK ili awe mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika nilishangaa kwanini na kama nchi tunafaidikaje na huo ukurugenzi wake huko?
Dr.Ngugulile aliupata na kabla hajaanza kazi mauti yakabisha hodi, alipofungua mlango yakamchukua.
Maana tulitumia pesa nyingi sana na ndege zetu kuzunguka Afrika nzima ikulu zote ili tu kumpigia chapuo yeye, sikupata jibu lakini sasa tunaona mwanga.
Na hatuna cha kufanya na tutaendelea kulalamika mitandaoni mpaka tuchoke, kama wasemavyo wanamtandao.
Anyway, alusema wachawi wote waliishakufa.
Kuna mmoja alijishtukia akasema yeye alisikia na kuona ktk mtandaoMimi nilistuka msibani maana kama watu walikua wanajistukia mara anaejua kilichomua Magufuli alete Ushaidi police kuna rudi Kwenye hotuba za Viongozi siku ile ya msiba chato labda waichomoe You tube but pitia kuna mkanganyiko pale kwenye Otuba za Viongozi
Nenda kwenye hotuba za mazishi kule kwa Mzee fuatilia vizuri labda wazichomoe you tubeHilo jina lako linanikumbusha mtu mmoja alikuwa anaitwa Boaz Mpazi.
Sijui alikuwa mwandishi wa habari yule….
Na alikuwa anaongea huku anatetemeka.Kuna mmoja alijishtukia akasema yeye alisikia na kuona ktk mtandao
Watanzania wako milioni 61 mliochanjwa hamzidi milioni 6, je hao 55 wamekufa kutokana na korona ambayo unakomaa kwamba JPM alikuwa na uamuzi wa kijinga?Poleni sana, kule kwetu kijijini pande tunasema "wasiwasi ni uwendawazimu". Ni wajinga tu na wapumbavu ndio wanakesha na kufikiria na kuhisi Kila anapokufa au kuumwa wa upande wao basi Kuna mkono wa mtu.
Watu wameonya na kuonya, tena kwa ushahidi wa wazi wa kisayansi, kuwa corona inauaaaa. Watu flani, being the most powerful na kwa kiburi tu Cha madaraka, wakaamua kupuuzia. Tena waliwalazimisha kwa nguvu na wengine wapuuzie kama walivyopuuzia wao. Sitosahau dhihaka iliyofanywa na kina Makonda eti sherehe ya kusheherekea kumalizika kwa korona Tanzania.....yuck!!!!!!!!!
Kanisa Katoliki lenyewe, kanisa ambalo mnalisifu humu Kila siku kuwa linafanya mambo kwa umakini mkubwa na kisayansi, walionya na kukubali juu ya uwepo wa korona......Bado mwamba alishupaza shingo.
Twende mbele na kurudi nyuma, JPM alikuwa ni mtu mmoja mwenye nguvuuuuu lakini asiye na maarifa. Isiwe tabia ya kiongozi mkuu kutaka sifa za wanaoitwa wanyonge kwa kuwananga na kuwadunisha na kuwahangaisha wenzie. Wanyonge, yaani waswahili ni furaha yao kuchamba na kumshutumu;
-kila mwenye Hela aliitwa fisadi na mwizi.....wanyonge walishangilia tu na sifa ilipatikana kwa kiongozi mkuu kwa sababu hiyo,
-kila kiongozi aliyepita alinangwa kuwa hakufanya chochote isipokuwa yeye tu ndo anafanya.......wanyonge walishangilia kweli kweli na sifa zote kwa kiongozi mkuu huyo kwa kufanya hivyo. Nakumbuka kauli, "nikitoka Mimi nani mwingine ataweza kufanya hivi (kwa maana wengine si ni wenzio tu na wasiowajobika)?!!!" Wanyonge vigelegele kama vyote kwa udhalilishaji huu. Sikuwahi kumsikia mkapa, jk Wala Sasa simsikii Samia akisema hivyo.
-Simu zote za viongozi wa zamani zilitegwa na kunaswa maongezi yao........Ili muradi tu taflani.
-Alioshirikiana nao kumdhulumu lowassa (Bado naamini hivyo) aliwageuka na Sasa peke yake kujikosha kwa wanyonge Huku akiwazuia wao kujisafisha kwa wanyonge hao kama yeye. Kama kawa, wanyonge shangwe kama zote na sifa juu kwa kiongozi mkuu huyu.
Yako mengi ngoja niishie hapa tu.