Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Pole sana kaka, umefungwa fikra.......zimefungiwa kwenye sanduku la chuki dhidi ya Samia, jk na walionacho wengine. Nje hapo, ungeelewa angalau kidogo nilichosema sababu ni kweli tupu.Watanzania wako milioni 61 mliochanjwa hamzidi milioni 6, je hao 55 wamekufa kutokana na korona ambayo unakomaa kwamba JPM alikuwa na uamuzi wa kijinga?
Kariabia wote mliochanjwa kwa sasa mnaumwa na mnakufa polepole kwa magonjwa ambayo msingestahiki kuyapata.
Hahahahahahaaa!!Na alikuwa anaongea huku anatetemeka.
Hivi si wanamuita Kanali yule? Mbona mwoga sana? Kaua mtu anatetemeka mpaka kojo linamwagika!
Jinsi alivyokuwa anaongea na kujitetea msibani huku anatatarika na kupapatika, ni jambo la ajabu sana!
kiranja wao akiwa msoga gang leaderMbona ipo wazi, hao manyang'au ndio wahusika wakuu ,
Yes, Gazeti la mfanyakazi.Hilo jina lako linanikumbusha mtu mmoja alikuwa anaitwa Boaz Mpazi.
Sijui alikuwa mwandishi wa habari yule….
Yahitajika report kutoka kwa mtu ambae ni mtaalam mzuri wa sheria aliebobea ambayo itapelekea kuwepo na "public enquiry".Kuna uzi ambao uliwekwa namna alivyo lishwa polonium na wale wote around him. Sijui walifuta. Ila hata miaka 100 ipite kifo cha Magufuli, Mkapa, et al kitakuja kuchunguzwa lengo likiwa kuimarisha usalama wa Rais. Rasi hatakiwi kufa kizembe hivyo hapana.
Ni hatari sanaKuna mmoja alijishtukia akasema yeye alisikia na kuona ktk mtandao
Wangemuacha mzee afanye kaziLeo kasemaje , Mtumishi
nilishangaa huyo jamaa kuhusishwa na mambo ya Mexico.Mjini mambo mengi sana, sasa kama una wenzetu wanauza silaha kwa cartel kama Jalisco/CJNG unadhani nini kinashindikana hapa???
Makamba, Kinana, Nape, Membe waliporudishwa kwenye fold ya ndani mapema kipindi kile, hukushtuka?Ushahidi wa mazingira unaanza kuwanyooshea vidole!
Sina uhakika.Yup!
Hivi bado yupo au alishafariki?
Usitoe rushwa ili upige au usipige kura. Piga 113 kutoa taarifa za rushwaAMRI YA KUKAMATWA KWA LISSU IMETOLEWA NA ROSTAM AZIZI KUNDI LA WANAMTANDAO
mwenyewe nilisoma mara mbili mbili nikasema, kuna watu wanacheza game za kikubwa sana. Na huyo unakuta ni fall guy tu, wenyewe wamekaa pembeni wanaombea amani.nilishangaa huyo jamaa kuhusishwa na mambo ya Mexico.
Kikwete alikuwa defensive kinoma..! Eti alikuwa hajui kinachoendelea mpaka alipopigiwa simu sijuiMimi nilistuka msibani maana kama watu walikua wanajistukia mara anaejua kilichomua Magufuli alete Ushaidi police kuna rudi Kwenye hotuba za Viongozi siku ile ya msiba chato labda waichomoe You tube but pitia kuna mkanganyiko pale kwenye Otuba za Viongozi