Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

Mbona wameshaanza kwa mfano job ndugai,ila 2020,na 2021 walifululiza sana watu...wote ikidaiwa ni korona na wengi ni team magufuli 😁😁kwa mfano yule mmiliki wa shule za st Mary's siamini kama alipata korona
Yes naelewa wameanza.kuna vigogo 4 tutashisha chini then watafuata wadogo wadogo

Wengi wao haikuwa covid muda unavyoenda mtaelewa kuwa ni mchezo
 
Chalamila japo ni Mlevi ila sentensi yake aliyoiongea hadi akatumbuliwa isipuuzwe.
 
acha porojo

ile lindi alipigwa juju moshi ukafuka kwenye gari

stori za korona na afya yake ni kuhalalisha hujuma zenu
 
Hawana akili ni watu wa kulazimisha tu mambo, wakati huyo Magufuli anaendelea na mambo yake bila kuvaa barakoa walikuwa wanasema et kachanja kisirisiri chanjo ya wachina halafu et anawapotosha wananchi wake kwa kuwataka wasivae barakoa wala kuchanja.

Sasa ajabu alivyokufa wao tena wanasema kafa kwa corona kwa sababu hakuchanja wala kufuata taratibu za kujikinga na corona.
 
acha porojo

ile lindi alipigwa juju moshi ukafuka kwenye gari

stori za korona na afya yake ni kuhalalisha hujuma zenu
Mahiga,kijazi na circle yake waliotangulia kabla yake nao ilikua hujuma!?..mpango aliumwa,alipopona alimshukuru sana Mungu,naye ilikua hujuma?.. acheni kujilisha upepo, marehemu mwenyewe alisema wanae waliugua,hawakumletea?
 
uzi wa GSM kupewa bandari kavu ya Isaka nilishangaa umefutwa nikajua hata jamiiforum ipo mikononi mwa wanamtandao
 
Kikwete ana Mapungufu yake lakini yule sio mdini hata kwenye ajira zake tuliona mawaziri wengi walikua wakristo na alipenda sana wahaya na wachanga JK pia amesoma seminary Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni sema anajua kuishi na watu vizuri kwa akili unajikuta uko loyal kwake JK tatizo la huyu Maadili ya Utumishi wa Umma alipiga chini😂😂
 
Wewe kichwa pumbu, si utoke uingie rodini sio unalialia humu
Fuvu imejaa utyoko hio, huku unaongea kiogauoga....
 

raisi kikwete anaongiaje hapo ? ...
 
Ila ni wewe ngabu ulisema kwamba ni mshamba Corona imemuua
Kama sijakosea
 
Kaka kaka halihitaji ushauri wa daktari wala elimu ya degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…