Naanza Kumuelewa na KUMKUBALI MAKONDA

Naanza Kumuelewa na KUMKUBALI MAKONDA

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Makonda kwa sasa anafanya kazi za Taasisi nyingi
1707624507910.png

  1. Anasaidia Majukumu ya Wabunge
  2. Anasaidia Majukumu ya Mahakama
  3. 1707624651592.png
  4. Anasaidia Majukumu ya TAKUKURU
  5. Anasaidia Majukumu ya Polisi
  6. 1707624622253.png
  7. Anasaidia majukumu MENGI MENGINEYO
  8. ANAFICHUA MENGI YALIYOLALA

1707624566627.png
 
Makonda kwa sasa anafanya kazi za Taasisi nyingi
View attachment 2900341
  1. Anasaidia Majukumu ya Wabunge
  2. Anasaidia Majukumu ya Mahakama
  3. View attachment 2900344
  4. Anasaidia Majukumu ya TAKUKURU
  5. Anasaidia Majukumu ya Polisi
  6. View attachment 2900343
  7. Anasaidia majukumu MENGI MENGINEYO
  8. ANAFICHUA MENGI YALIYOLALA

View attachment 2900342
Taifa la wapumbavu, si bure Jomo Kenyata alimwambia Nyerere kwamba anatawala/anaongoza Maiti.

Maigizo ya kupumbavu sana haya, kama huyo Makonda anaona kuna mapungufu kwenye baadhi ya sheria kwa nini asiwasiliane na Bosi wake ili baadhi ya sheria zifanyiwe marekebisho makubwa sana kuwabana watendaji wazembe na kuleta uwajibikaji? hilo usha msikia anazunguzia?

Haya ni maigizo na wapumbavu mnakuja humu kusapoti ujinga.Ni Tanzania pekee kwenye hii sayari ya Dunia utakutana na huu ujinga wa kijima.

Si wako wengi Bungeni? kwa nini wasipeleke miswaada ya kutunga sheria mpya ili basi zisaidie uwajbikaji? Kwa hio nchi itaendeshwa kwa maigizo ya Makonda hadi mwisho wa Dunia au hadi Makonda atakapo kufa?

Yale yale maigizo ya Magufuri,badala kuimarisha mifumo yeye alikuwa anafanya maigizo haya iko wapi sasa?

Naumia sana kuona kiwango cha ujinga kwenye hili Taifa.
 
Taifa la wapumbavu, si bure Jomo Kenyata alimwambia Nyerere kwamba anatawala/anaongoza Maiti.

Maigizo ya kupumbavu sana haya, kama huyo Makonda anaona kuna mapungufu kwenye baadhi ya sheria kwa nini asiwasiliane na Bosi wake ili baadhi ya sheria zifanyiwe marekebisho makubwa sana kuwabana watendaji wazembe na kuleta uwajibikaji? hilo usha msikia anazunguzia?

Haya ni maigizo na wapumbavu mnakuja humu kusapoti ujinga.Ni Tanzania pekee kwenye hii sayari ya Dunia utakutana na huu ujinga wa kijima.

Si wako wengi Bungeni? kwa nini wasipeleke miswaada ya kutungua sheria mpya ili basi zisaidie uwajbikaji? Kwa hio nchi iaendeshwa kwa maigizo ya Makonda hadi mwisho wa Dunia au hadi Makonda atakapo kufa?

Yale yale maigizo ya Magufuri,badala kuimarisha mifumo yeye alikuwa anafanya maigizo haya iko wapi sasa?

Naumia sana kuona kiwango cha ujinga kwenye hili Taifa.
Tena tunazidi haribika
 
Tena tunazidi haribika
Shida ni ujinga wa watawaliwa, nchi ina wajinga mkuu, nchi imejaa raia wasio jitambua, ndio maana maigizo kama hayo yana fana sana kwa sababu ya ujinga wa Raia wa hili Taifa, Raia wangekuwa wanajitambua hao wakina Makonda wasingeweza fanya miagizo.
 
Na tunafanyiwa maigizo huku tunaumizwa.....nawaonea huruma wanangu nimewaleta katika ulimwengu usioeleweka Kabisa
 
Makonda kwa sasa anafanya kazi za Taasisi nyingi
View attachment 2900341
  1. Anasaidia Majukumu ya Wabunge
  2. Anasaidia Majukumu ya Mahakama
  3. View attachment 2900344
  4. Anasaidia Majukumu ya TAKUKURU
  5. Anasaidia Majukumu ya Polisi
  6. View attachment 2900343
  7. Anasaidia majukumu MENGI MENGINEYO
  8. ANAFICHUA MENGI YALIYOLALA

View attachment 2900342

Kwa sababu akili huna:

1. Makonda kawekwa na CCM.
2. Wazembe wamewekwa na CCM
3. Wote wanaonewa na CCM
4. Wanaozulumu ni wa CCM
5. CCM ina mamlaka na wote hao.
6. Shida ni mfumo, wa CCM
 
Back
Top Bottom