Kijana ni maamuzi yako by the way mimi mke wangu nimemuoa akiwa na watoto 2 wote wakubwa tu.Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...
wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..
yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Hapa umepuyanga masta.Moja ya content isio vutia ni hii.
Yani hao singo maza mmewachafua sana kitaa harafu saivi unakuja na slogan yakwamba wazazi wamekuonya usiangukie pua kuoa singo maza wakati nyinyi wenyewe ndio chanzo kikubwa cha yote hayo.
NAKUULIZA UNATAKA HAO WAOLEWE NAWAKINA NANI SASA? ππππππππ
Uanchagua sana!hasa kama we ni perfectionist ndio utapata tabu sana!!Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...
wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..
yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
wewe hakuna hiko kitu alaf nkuoe bwanako nae uwe unakutana nae mm s ntakua sio mzma kuoa mtu aliezalshwa ni zambiHuko kwenu wazazi walikutana kabla ya kuwa na watoto?
Kuna wengine walizaliwa nje ya ndoa ila hawataki kuoa mwanamke aliyezaa.
Wengine wanataka kuoa walio toa mimba 20+( wauaji) lakini hawataki waliozaa watoto wawili(waaminifu).
Unafiki mbaya sana huu!
daaah hata sielewi noma saanaNdo tupo β¦.sa itakuwajeπ₯΄
Singo maza anazalishwa tu watoto halafu anatumiwa hela za matumizi. Si maisha aliyachagua , aliyemwambia apanue paja before ndoa ni Nani huyo ndiye akamuoe sasa. Alipata ule utamu saivi anapata matunda ya mbegu za utamu anataka kujiliza Nini ili aonewe huruma.Moja ya content isio vutia ni hii.
Yani hao singo maza mmewachafua sana kitaa harafu saivi unakuja na slogan yakwamba wazazi wamekuonya usiangukie pua kuoa singo maza wakati nyinyi wenyewe ndio chanzo kikubwa cha yote hayo.
NAKUULIZA UNATAKA HAO WAOLEWE NAWAKINA NANI SASA? ππππππππ
Yaan mtu kazaa watoto wawili halafu mwamunifu. We naeHuko kwenu wazazi walikutana kabla ya kuwa na watoto?
Kuna wengine walizaliwa nje ya ndoa ila hawataki kuoa mwanamke aliyezaa.
Wengine wanataka kuoa walio toa mimba 20+( wauaji) lakini hawataki waliozaa watoto wawili(waaminifu).
Unafiki mbaya sana huu!
Kipato cha kati ndo shilling ngapi kwa mwezi au wastani kwa sikuMwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...