Naam, ni fashion kweli!sas kam kuzaa n moja ya fashion inayotrend kwasasa kwanin tupitwe😄😂,,vizaz vinaoza na p2
Bado hajapuyanga maana wanaowafanya binti kuwa na maisha ya kitanda hakizai haramu ndiyo huyu kijana hapa.Hapa umepuyanga masta.
Ilikuwa hekima ungemuuliza kwanza mwenye mada yake amewazalisha wangapi ndiyo umshauri yeye akawaoe.nadhani ilikuwa vizuri zaidi ungewashauri hao waliozalishwa kwenda kuolewa na waliowazalisha kuliko kutaka kuolewa na wengine na kwenda kuwavurugia maisha yao.
HongeraSunna
SoHongera
hujakosea ndoman kuna oil ya kusafisha mashine ili iwe safi,aka mpya inayoitwa P2Naam, ni fashion kweli!
Hii pia inaleta maana halisi ya kuwa mwanamke anayekubali kuzaa bila utaratibu unaoeleweka, ni sawa na mashine ya kufyatulia tofali!
Wake 300lomon
Masulia 700 utaweza kuhudumia wewWake 300
Hapo ndio mnapokoseaMasulia 700 utaweza kuhudumia wew
Hutaki ili swalaHapo ndio mnapokosea
Unaoaje mwanamke mwenye mtoto wakati wasichana wabichi wamejaa,sisi wenyewe wenye ndoa tuna michepuko mabinti ambao hawajazaa wewe unashindwa nn,tembelea vyuo vya juu na kati hautakosa kijana.Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..
Yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..
Yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Mhitaji lazima naye ajue mahitaji ya mtu wakeHutaki ili swala
Simp 🤣Kijana ni maamuzi yako by the way mimi mke wangu nimemuoa akiwa na watoto 2 wote wakubwa tu.