Naanza kupokea zawadi na mialiko ya Christmas mapema

Hakuna aliyeomba namba ya kufanya muamala hadi sasa?

Ama maombi yanafanyika huko PM?
Bado kabisaπŸ˜…πŸ˜…naomba unielekeze namna ya kufunga pm Joanah wangu.(niko siriazi kwenye hili)siku nyingi nimejaribu kufunga naona havifungiki.

Ulipotelea wapi jamani..nilikuhamu ujue.gud to see u again
 
Mbona kwangu inaonesha kama PM yako imefungwa

Mie nipo Chakorii wangu...ni vile tu mambo ni mengi kidogo...good to see you

Halafu nilikumiss
 
Attachments

  • 20201210_233059.jpg
    35.2 KB · Views: 1
Heheheh kodi ya uroda wa usingiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Extrovert nimeshaediti hizo pesa pesa tatu hapo mizizi ya kichwa ikupoe sanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ₯‚πŸ₯‚
umefuta ila nishaona iloooh 😁😁😁
 
Mbona kwangu inaonesha kama PM yako imefungwa

Mie nipo Chakorii wangu...ni vile tu mambo ni mengi kidogo...good to see you

Halafu nilikumiss
Ohoooo Asante Yesu wangu nilikuwa sijajiona...kichwa kilikuwa chaniuma kumbe nimefanikisha😁😁πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚

Bado kufunga last see😩😩😩

Pole ndugu yangu maisha bila kuhangaika hayawezi kwenda kabisa..😊😊

Mimi more aise 😘😘😘😘
 
Tukutane Dubai hapo tukale Kuku za Xmas na mwaka mpya ila kula huingii bila kuwa na cheti cha kuonysha huna COVID.
 
Hahaha last seen unaipata kwenye settings pia
 
Tukutane Dubai hapo tukale Kuku za Xmas na mwaka mpya ila kula huingii bila kuwa na cheti cha kuonysha huna COVID.
Ninavyovyeti vyote hadi vya clinic BAK
 
Reactions: BAK
Loh!pole
Nawish ingekuwepo voice note nikutumie maelekezo
Si unaweza kuchukua video au chochote kupitia simu yako??fanya hivi kama ninavyofanya mimi sasa hivi the ni nitumie madame
 
Hivi ndio wanafanyaje hii video?

Kama unatumia browser unaweza kuclick pale kwenye kama kimtu,then preference then utaona maelekezo
Hebu niangalie kama bado ninalast seen.
Nimekuwa nikifanya mara nyingi lakni nikiback ngoma bdo inaonyesha last seen .

Ngoja tuone leo kwa kuwa umeniambia wewe sasa.

Thanks πŸ’—πŸ˜˜
 
Hebu niangalie kama bado ninalast seen.
Nimekuwa nikifanya mara nyingi lakni nikiback ngoma bdo inaonyesha last seen .

Ngoja tuone leo kwa kuwa umeniambia wewe sasa.

Thanks πŸ’—πŸ˜˜
Mimi siioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…