sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu.
Mungu wangu, naweka nadhiri hii ya maombi, nikitarajia mwaka 2025 kupata majibu, majibu yatakayowapa amani wapalestina au yatakayo waadhibu watesi na madhalim.
Namuomba Mungu awape uwezo watu wa kuijua haki, na kujiepusha na dhulma.
Uzi huu ni ukumbusho wangu, sitaandika uzi wowote mpaka siku 40 za kumaliza maombi yangu.
Mungu wangu, yapokee. Amin