Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Hichi ndicho walikuwa wanakistahili wapalestina. Huwezi kuwa na akili timamu ukavamie nchi ya watu, ukaue, ubake na uchukue mateka kuleta Gaza.Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu.
Mungu wangu, naweka nadhiri hii ya maombi, nikitarajia mwaka 2025 kupata majibu, majibu yatakayowapa amani wapalestina au yatakayo waadhibu watesi na madhalim.
Namuomba Mungu awape uwezo watu wa kuijua haki, na kujiepusha na dhulma.
Uzi huu ni ukumbusho wangu, sitaandika uzi wowote mpaka siku 40 za kumaliza maombi yangu.
Mungu wangu, yapokee. AminView attachment 3233895
Mliposikia Israel imevamiwa na HAMAS, wewe na Faizafoxy mlikuwa mnashangilia na kukata kiuno. Kiukweli mimi siwaoni huruma hao wapalestina maana huwezi kuanzisha vita ambayo huiwezi. Nafikiri wamejifunza na inatakiwa wapalestina waende Saudia Arabia, Jordan, Misri na Lebanon wakatengeneze nchi yao huko. Si mlisema HAMAS wameshinda vita? Sina msaada nao