Wajinga wote wanaajua chazo cha vita ni October 7. Unahaki ya kuendelea kua mjinga.Kwa hio mauaji waliofanya hamas ya mamia ya wayahudi ni halali
Mauaji iran iliofanya zidi ya waandamanaji wasiotaka utapeli.
Ubakaji unaofanywa na magenge ya kiarabu huko london ni halali?
Hamas ndio walianzisha hiyo vita wakaua hadi watanzania wenzetuKwahilo mauaji ya wapalestina ni halali mana anaeyafanya hatakiwi kupingwa ukimpiga unalaaniwa?
Hapa ndio wagalatia uchwala wanaponichosha, bora Christians wakizungu wengi ni waelewa.
1 Timotheo 5:8 Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini; sasa ndugu hujali amani na umasikini wa baadhi ya Watanzania wenzako na Wafrika wenzako... unapate ujasiri wa kuwajali wapalestina?Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu.
Mungu wangu, naweka nadhiri hii ya maombi, nikitarajia mwaka 2025 kupata majibu, majibu yatakayowapa amani wapalestina au yatakayo waadhibu watesi na madhalim.
Namuomba Mungu awape uwezo watu wa kuijua haki, na kujiepusha na dhulma.
Uzi huu ni ukumbusho wangu, sitaandika uzi wowote mpaka siku 40 za kumaliza maombi yangu.
Mungu wangu, yapokee. AminView attachment 3233895
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Trump anachotaka kuwafanyia Wapalestina na haya uliyoandikaHayatosaidia chochote.
Msumbiji hakukaliki
Sudan wanauwana
Darful na West Nile Kuna vita ya reja reja
Libya kitimutimu
Kongo vita isiyo kwisha
Tchad na vikundi vya Imani Kali
Mali na vikundi vya Imani Kali
Burkinafaso nako hakueleweki
Mali mshikemshike
Somalia hakujapoa.
Ila wewe unaiwaza Palestina tu ambao hata ndugu zao Waarabu wameshindwa kuwasaidia🤣🤣🤣🤣🤣
Eti kwa sababu wapalestina ni waislamu wenzake!!! Kwa hiyo haoni ubaya wowote kwa hao waislamu wenzake wala yeye hatambui kuwa Oct 07,2023 wao ndiyo waliichokoza Israel kwa kuvamia na kuua watu 1,200 na wengine kuwabaka na kuwateka nyara 251 na kuwapeleka Gaza. Hilo huyu pimbi halijui kabisa!!!}Hili la kua kipofu maeneo yenye VITA kama hapa kwa jirani zetu Zaire/DRC limenishangaza, why only in Palestine? Stupid
Eti kwa sababu wapalestina ni waislamu wenzake!!! Kwa hiyo haoni ubaya wowote kwa hao waislamu wenzake wala yeye hatambui kuwa Oct 07,2023 wao ndiyo waliichokoza Israel kwa kuvamia na kuua watu 1,200 na wengine kuwabaka na kuwateka nyara 251 na kuwapeleka Gaza. Hilo huyu pimbi halijui kabisa!!!Hili la kua kipofu maeneo yenye VITA kama hapa kwa jirani zetu Zaire/DRC limenishangaza, why only in Palestine? Stupid
Profile ulioweka wainekana mtu mzima ila kichwani ni takatakaEti kwa sababu wapalestina ni waislamu wenzake!!! Kwa hiyo haoni ubaya wowote kwa hao waislamu wenzake wala yeye hatambui kuwa Oct 07,2023 wao ndiyo waliichokoza Israel kwa kuvamia na kuua watu 1,200 na wengine kuwabaka na kuwateka nyara 251 na kuwapeleka Gaza. Hilo huyu pimbi halijui kabisa!!!
Wewe muislamu zinduka hapo hamna mtu wa kuonewa huruma; wao jamaa ni mashetani, halafu siri ndiyo zinafichuka hao wote niWamisri waliovamia nchi ya watu. Arafat alizaliwa Cairo Sinwar naye ni Mmisri, Ismail Haniyeh naye piaNaamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu.
Mungu wangu, naweka nadhiri hii ya maombi, nikitarajia mwaka 2025 kupata majibu, majibu yatakayowapa amani wapalestina au yatakayo waadhibu watesi na madhalim.
Namuomba Mungu awape uwezo watu wa kuijua haki, na kujiepusha na dhulma.
Uzi huu ni ukumbusho wangu, sitaandika uzi wowote mpaka siku 40 za kumaliza maombi yangu.
Mungu wangu, yapokee. AminView attachment 3233895
Hii inaweza kusaidia na watoto au wajukuu zako.Eti kwa sababu wapalestina ni waislamu wenzake!!! Kwa hiyo haoni ubaya wowote kwa hao waislamu wenzake wala yeye hatambui kuwa Oct 07,2023 wao ndiyo waliichokoza Israel kwa kuvamia na kuua watu 1,200 na wengine kuwabaka na kuwateka nyara 251 na kuwapeleka Gaza. Hilo huyu pimbi halijui kabisa!!!
1. Sio suala la uislam, mana wapo wapalestina wakristo, so huyo unaeonesha kwenye tweet anaweza kua coward vile vileWewe muislamu zinduka hapo hamna mtu wa kuonewa huruma; wao jamaa ni mashetani, halafu siri ndiyo zinafichuka hao wote niWamisri waliovamia nchi ya watu. Arafat alizaliwa Cairo Sinwar naye ni Mmisri, Ismail Haniyeh naye pia
View: https://x.com/VividProwess/status/1889494635120394741
Unaomba kwa imani ya Mungu gani?Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu.
Mungu wangu, naweka nadhiri hii ya maombi, nikitarajia mwaka 2025 kupata majibu, majibu yatakayowapa amani wapalestina au yatakayo waadhibu watesi na madhalim.
Namuomba Mungu awape uwezo watu wa kuijua haki, na kujiepusha na dhulma.
Uzi huu ni ukumbusho wangu, sitaandika uzi wowote mpaka siku 40 za kumaliza maombi yangu.
Mungu wangu, yapokee. AminView attachment 3233895
Barikiwa, usisahau Congo piaNaamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu.
Mungu wangu, naweka nadhiri hii ya maombi, nikitarajia mwaka 2025 kupata majibu, majibu yatakayowapa amani wapalestina au yatakayo waadhibu watesi na madhalim.
Namuomba Mungu awape uwezo watu wa kuijua haki, na kujiepusha na dhulma.
Uzi huu ni ukumbusho wangu, sitaandika uzi wowote mpaka siku 40 za kumaliza maombi yangu.
Mungu wangu, yapokee. AminView attachment 3233895
Naungana nawe, Ramadhan hii tuwakumbuke ndugu zetu katika Dua zetu, they’ve had enough.Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu.
Mungu wangu, naweka nadhiri hii ya maombi, nikitarajia mwaka 2025 kupata majibu, majibu yatakayowapa amani wapalestina au yatakayo waadhibu watesi na madhalim.
Namuomba Mungu awape uwezo watu wa kuijua haki, na kujiepusha na dhulma.
Uzi huu ni ukumbusho wangu, sitaandika uzi wowote mpaka siku 40 za kumaliza maombi yangu.
Mungu wangu, yapokee. AminView attachment 3233895
Eti kwa sababu wapalestina ni waislamu wenzake!!! Kwa hiyo haoni ubaya wowote kwa hao waislamu wenzake wala yeye hatambui kuwa Oct 07,2023 wao ndiyo waliichokoza Israel kwa kuvamia na kuua watu 1,200 na wengine kuwabaka na kuwateka nyara 251 na kuwapeleka Gaza. Hilo huyu pimbi halijui kabisa!!!Hili la kua kipofu maeneo yenye VITA kama hapa kwa jirani zetu Zaire/DRC limenishangaza, why only in Palestine? Stupid
Mnasumbuka bure na Magaidi ya kiarabu yaliyoichokoza Israel kwa kuivamia na kuua watu 1,200 na kubaka wanawake na kuteka wanawake na watoto 251 kinyume kabisa na sheria za umoja wa mataifa na kinyume na dini ya kiislamu harafu nyinyi mnajitoa ufahamu na kuombea ujinga na Upumbavu!!Naungana nawe, Ramadhan hii tuwakumbuke ndugu zetu katika Dua zetu, they’ve had enough.
Acha ujinga na upumbavu nakujibu kama ifuatavyo-Profile ulioweka wainekana mtu mzima ila kichwani ni takataka
- Mgogoro haujaanza October 7
- Israel walia raia wao October 7 kwa kuruhusu utumiaji wa Hannibal directive( kama hujui kasome google)
- Hakuna raia aliebakwa na Hamas
- Israel inashikilia maelfu ya wapalestina mateka bila ya kua na kesi maalum.
- Uwe inaficha ujinga wako.